mkoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  2. M

    CHADEMA fanyeni haya kumng'oa huyu mkoloni mweusi

    Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini kwa wapenda demokrasia ya kweli 1. Chama kianzishe RUNINGA na RADIO yake, ndani or hata nje ya...
  3. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  4. ukwaju_wa_ kitambo

    Ujumbe kwa serikali kupitia fasihi juu ya changamoto za walimu by John Woka & Mkoloni - Walimu

    CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
  5. Rorscharch

    Mkoloni tunamchukia lakini kustaarabisha bara liliochelewa

    Ukoloni na Umisionari umechangia kustaarabisha na kuiunganisha Afrika kuliko sisi Waafrika wenyewe Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe. Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta...
  6. Lycaon pictus

    Kuendesha magari kushoto ni moja ya hasara tuliyoachiwa na mkoloni.

    Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza. Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani...
  7. Mhafidhina07

    Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  8. Tajiri wa kusini

    Miaka 63 ya uhuru Bado tunatumia katiba ile ile ya mkoloni. Tumlaumu nani? Nyerere au waliomfuatia?

    Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
  9. B

    Paul Makonda anafanya kazi kama ambavyo Ma-DC wa Mkoloni walivyokuwa makini Tanganyika

    Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
  10. D

    Historia imejirudia, CCM imekuwa Mkoloni na CHADEMA Mdai Uhuru!

    Niliwahi kusikia kwa Mwalimu wangu kuwa historia ina tabia ya kujirudia na kwamba hakuna jipya chini ya jua. Kwamba hata haya mavazi na fasheni zake si jambo jipya. Yaliwahi kuwepo kwa nyakati tofauti. Kabla ya Uhuru wetu 1961 nchi ya Tanganyika (sasa Tanzania) ilitawaliwa na Serikali ya...
  11. Mto Songwe

    Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi. Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi. Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana...
  12. Msanii

    Pre GE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  13. Kijakazi

    Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
  14. T

    Ni vigumu sana kumng'oa Mkoloni Mweusi kuliko ilivyokuwa kwa Mkoloni Mweupe

    Asalaam aleykum, Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika. Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu, imekuwa ni hulka ya baadhi ya watu furaha yao kukamilishwa kwa kuwanyonya/kuwakandamiza wenzao. Hili...
  15. K

    Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

    Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni. Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo...
  16. R

    Ninachokiona watawala wanafanya makusudi kutosimamia mradi wa Mwendokasi ili wapate sababu za kuendeshwa na wageni

    Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo tumekopa kujenga miundombinu na kununua magari ya mwendo kasi tulitegemea wazawa wangeachwa...
  17. Gill Rugo

    SoC03 Akirudi mkoloni atukute na Kitambulisho cha Taifa

    Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto unawasubiri; lakini, kazi yao duniani inameremeta mpaka leo. Wanacheka kwa sababu kuna kijana atachomwa...
  18. Beberu

    Ni wakati wa CHADEMA na ACT kuungana kupambana na mkoloni

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, karibuni tena kwenye mawazo ya kibeberu na Beberu J Katika mizahania ya siasa Tz kuna vyama viwili vya upinzani ambavyo navyo unaweza sema vinapigania kuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ya bwana Mbowe na ACT wazalendo ya kwake Zitto, mifarakano ya hawa...
  19. Sir robby

    Chuki na uoga wa CCM kwa CHADEMA ni zaidi ya chuki na uoga wa Mkoloni kwa TANU ya Nyerere

    AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni. Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)...
Back
Top Bottom