mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

    Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"... Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
  2. T

    Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

    Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
  3. matunduizi

    Kama huna mchango wowote kwenye jamii inayokuzunguka, unakosa maana ya kuishi

    Kila mtu ndani yake ameumbwa na kitu ambacho mwenzake hana. Hii ndio sababu pekee kwa nini tumeumbwa tofauti na sio watu wenye ufahamu na akili za kufanana kama bata. Lazima uwe na kitu cha kuchangia katika jamii. Ukiachia wengine hilo jukumu na ukabaki kuwa mnufaika wa michango ya wengine...
  4. L

    Mchango wa China kwenye operesheni za ulinzi wa amani barani Afrika utaendelea kuwa muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
  5. K

    Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo itakayo fungamanishwa na falsafa za 4R za Rais Samia na katiba mpya, ni matokeo makubwa kesho

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  6. benzemah

    Mchango wa madini kwenye Pato la Taifa wazidi kuongezeka

    Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 6.8 hadi kufikia asilimia 9.11 kwa mwaka 2022/23. Pia amewataka wafanyabiashara wa madini kuhakikisha wanarejesha mauzo kwa fedha za kigeni. Dk Biteko alisema hayo Dodoma jana...
  7. L

    Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  8. Mto Songwe

    Kwanini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kutoka kwenye umasikini na kupata maendeleo?

    Swali ubaoni: Kwa nini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kupata maendeleo ya kiuchumi kutoka katika hali duni( umasikini ) kwenda hali bora ? Mifano: Russia U.S.A Europe Arab nation's China Korea Japan Singapore Taiwan Turkey Iran and so on.
  9. Yofav

    Ni kiasi gani kinapaswa kuchangiwa kama mchango wa harusi?

    Habari wakuu, ni katika hali ya kunishangaza leo nimepokea kadi ya mchango kutoka kwa jirani yangu ambae anatarajia kufunga ndoa. Nimepokea kadi hii na shughuli yao inaonekana inafanyika mwezi ujao, Hii ni kadi ya kwanza napokea ya kuhusu haya masuala toka nizaliwe 23years ago maana nilizoea...
  10. Chaula0001

    SoC03 Mchango wa utawala bora na uwajibikaji katika maendeleo endelevu ya nchi

    Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, huku wakilinda maslahi ya umma. Utawala bora, unahusisha uwajibikaji...
  11. Anitha Amos

    SoC03 Mchango na malengo ya Utawala Bora na uwajibikaji

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyopo Afrika Mashariki. Nchi hii imejikita katika kukuza maendeleo na ustawi wa wananchi wake. Mojawapo ya nguzo muhimu katika kufanikisha lengo hili ni uwajibikaji na utawala bora. Katika muktadha wa andiko hili, tutachunguza kwa undani dhana za uwajibikaji na...
  12. Chaula0001

    SoC03 Mchango wa Utawala Bora na Uwajibikaji katika maendeleo endelevu ya nchi

    Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, huku wakilinda maslahi ya umma. Utawala bora, unahusisha uwajibikaji...
  13. N

    Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

    Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada. Shule hii...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Yondo Kusala Denise (Yondo Sister) JamiiForums tunakupa heshima zako na tunauthamini mchango wako, hatuna tuzo, ila tuna uzi wako.

    Yondo Kusala Denise (amezaliwa tar. 1 Januari 1958) ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "Malkia wa Soukous", "Tina Turner" wa muziki wa dansi barani Afrika. Yondo Sister amepata kuwa mwimbaji mkuu katika bendi ya Soukous Stars kwa...
  15. Mwachiluwi

    Mchango wa kuwezesha kesi ya bandari umefikia wapi?

    Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap? Je walisema kuwa mchango umetosha? Je walipata kiasi gani? Matumizi yake? Je watz au...
  16. eliakeem

    Kuadhimisha Siku Kiswahili Duniani: Nini Mchango wa JamiiForum Katika Kukuza Kiswahili Duniani

    Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza. Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla. Karibuni kuchangia.
  17. JanguKamaJangu

    Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
  18. Mwachiluwi

    Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  19. L

    Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
Back
Top Bottom