kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abou Shaymaa

    Nataka Kufungua Mashtaka dhidi ya Tanesco kwa hasara waliyonisababishia

    Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
  2. africatuni

    Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well. Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter, Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k Nipo...
  3. E

    Je, kufungua nchi ndio kuifanya dampo?

    Wasalaam ndugu zangu,Nimepende kuchukua fursa hii kuwasalimu watanzania wote wapenda maendeleo kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo ,amani iwe kwenu. Lipo jambo linanitatiza,maana kwa jinsi nionavyoo,huku tunapoelekea ni kwenyewe au tumeingia chaka.Jambo lenyewe ni swala la kufungua mipaka...
  4. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  5. B

    Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

    Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024 leo 15 April 2024 mbele ya jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Manyara, kuhusu shambulio la...
  6. Simara

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua. Kile kiasi ameshakipata ila sasa hana taarifa nyingine yoyote inayoweza kumsaidia. Kwa yoyote alie na taarifa...
  7. kelvinvevo

    Unaweza kufungua kampuni nje ya nchi? Hatua zake zipoje?

    Habari wakubwa natumai wazima. Nilikuwa natamani kujua kama inawezekana kufungua kampuni yako nje ya nchi na hatua za kufungua nje ya nchi zinaanzia wapi? Asanteni.
  8. J

    Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Wabunge wa Bunge la JMT wamejiongezea Mishahara kutoka TSH 13 million walizokuwa wanalipwa awali hadi TSH 18 million Mbowe amesema mshahara huo ni mbali na Posho mbalimbali wanazolipwa kila Siku Jumaa Mubarak 😀🔥 ---- Mwenyekiti wa chama cha...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Kufungua Fursa Mafia

    UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFUNGUA FURSA MAFIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuifungua wilaya ya Mafia kwa kujenga miundombinu bora ya barabara ili kuchochea fursa za...
  10. Teslarati

    MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  11. SAYVILLE

    Kwa hiyo Yanga ndiyo imegoma kufungua WhatsApp Channel?

    Simba ilipozindua WhatsApp channel yake, hadi CEO Imani Kajura akafanya press conference kuhusu uzinduzi huu. Binafsi na wengi wetu tuliona hii siyo issue kubwa kihivyo na tulikwazika pale ilipoorodheshwa kwenye Mkutano Mkuu kama ni moja ya mafanikio ya klabu msimu huu. Pamoja na yote hayo yote...
  12. U

    Aibu tupu!! Vyuo vya Tanzania mtu anasoma masomo ya biashara miaka mitatu na kulipa almost milioni 5 lakini hajui hata kufungua biashara

    Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu...
  13. THE FIRST BORN

    Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  14. Heparin

    Sisty Nyahoza: Vyama vya siasa vimshukuru Rais Samia kwa kufungua Milango ya kufanyika kwa Mikutano na kudumisha Demokrasia

    Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa. Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024. Sisty amesema kwa sasa...
  15. Financial Analyst

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  16. C

    Kufungua pharmacy

    Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka kujua je ninaweza kufungua halafu ni control duka langu kwa kutumia camera ntakazofunga dukani mke...
  17. Barackachess

    Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
Back
Top Bottom