samaki wabichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  2. W

    Bei ya Dagaa imepungua, karibuni wanunuzi

    Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  3. Infinity Solutions

    INAUZWA Jipatie samaki wabichi aina ya kumba/sato/tilapia/perege kutoka rufiji - tsh 10,000/- kwa kilo

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  4. shaban abdala

    Biashara ya samaki wabichi (butcher la samaki)

    Habari wakuu? Samahani ndugu zangu naomba muongozo kwa mwenye ufahamu/uzoefu wa biashara ya uuzaji wa samaki wabichi(mahitaji yake kuanzia vifaa na documents kama vile leseni)
  5. Nyendo

    Unaweka nini samaki wabichi wasing'ang'anie kwenye kikaango?

    Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Mimi huwa naweka ngano, nachanganya ngano na maji nachovya samaki wabichi kisha nakaanga. Wanatoka vizuri sana na wanakuwa watamu mno. Tupe mbinu yako na wewe.
Back
Top Bottom