Habari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema
Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa.
Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo...
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli
Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
Tunatarajia kufanya hitma.
Makadirio ni watu 200.
Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo
Pilau
Nyama
Ndizi
Salad
Tunda
Maji
Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?
Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa...
Wakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni.
Nataka niwe na jiko la kawaida tu.
Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.
Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni...
Wakuu,
Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa...
WAkuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa...
Nawasalim kwa jina la TZ.
Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo.
Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui...
Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi.
Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.
Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?
N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake...
Wakuu,
Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula?
Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue...
Hi all
Naomba kufahamu namna ya kujua sufuria bora za non stick maan saiv kila kona non stick. Haya wataalamu na wazoefu wa vyombo hivi tiririkeni.
Natanguliza shukrani
CL
Kwangu mambo yote ni shega tu!
Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!.
Yawezekana tumefanyiwa tu fitina.
Ina maana hawa waliotoa haka ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.