Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Kiuhalisia mchele wa birian hauna ladha km mchele wa kawaida nishapika mara kadhaa sikukuelewa had nilipojaribu kuchanganya mchele wa basmati na WA kawaida kidogo ndo Lilikuwa tamu
Mimi nilivyochanganya nikatoa bomu,sirudii tena.
Kwanza unatofautiana kuiva,,Kuna mmoja unawahi,mwingine unachelewa.

Sijui ndio ushamba
Nisipoona mchele imenyooka kama spoku naona bado sijala biriyani.
 
Biriyani ni chakula kilichokuwa overrated ssna
Hapa kali ni lile rojo lake tu ndio linanikosha nikilipatia
Ila ule wali wake hadi kuongeza manjonjo kiasi,vinginevyo ni ubwabwa usionukia
Binafsi nalipika fresh kabisa Hilo rojo lake,ila hiyo basmat hainikoshi imepooza sana kama usemavyo sipati Ile aroma ya mchele wa mbeya😂
 
Kiuhalisia mchele wa birian hauna ladha km mchele wa kawaida nishapika mara kadhaa sikukuelewa had nilipojaribu kuchanganya mchele wa basmati na WA kawaida kidogo ndo Lilikuwa tamu
Ulichanganya? Hivi tukitumia ule mchele grade 1 unaouzwa kuanzia 3500-600 halitokuwa pambe?hebu weekend tujaribuni halafu tupeane mrejesho kama vipi Saint Anne
 
Nimeshawahi kuchanganya ukawa mbaya
Ila mchele niliochanganyia haukuwa mzuri sana

Ukichanganya kwa mchele grade 1 ule kabisa linatoka poa sana mno

Sema Mimi sina hamu tena ya kuchanganya
 
Binafsi nalipika fresh kabisa Hilo rojo lake,ila hiyo basmat hainikoshi imepooza sana kama usemavyo sipati Ile aroma ya mchele wa mbeya😂
Masmati hata upikaje haiwezi kuufikia ubwabwa wetu pendwa wa Mbeya jamani
Ubwabwa wa Mbeya hauwezi kulinganishwa na vitu vya ajabu😂😂😂
.....

Jaribu kuweka iliki ya kutosha,binzari nyembamba na zabibu kavu
Kuna namna inaongeza ladha .
 
Binafsi nalipika fresh kabisa Hilo rojo lake,ila hiyo basmat hainikoshi imepooza sana kama usemavyo sipati Ile aroma ya mchele wa mbeya😂
Basmati hata upikaje haiwezi kuufikia ubwabwa wetu pendwa wa Mbeya jamani
Ubwabwa wa Mbeya hauwezi kulinganishwa na vitu vya ajabu😂😂😂
.....

Jaribu kuweka iliki ya kutosha,binzari nyembamba na zabibu kavu
Kuna namna inaongeza ladha .
 
Ulichanganya? Hivi tukitumia ule mchele grade 1 unaouzwa kuanzia 3500-600 halitokuwa pambe?hebu weekend tujaribuni halafu tupeane mrejesho kama vipi Saint Anne
Unachanganya nilipika basmati nusu na robo mchele wa kawaida nikaiweka robo Ilikuwa tamu sana na halikumwagika kama inavokuwaga ulichambuka vizuri

Mchele wa kawaida nishawah jaribu sikuupenda
 
Mimi nilivyochanganya nikatoa bomu,sirudii tena.
Kwanza unatofautiana kuiva,,Kuna mmoja unawahi,mwingine unachelewa.

Sijui ndio ushamba
Nisipoona mchele imenyooka kama spoku naona bado sijala biriyani.
Mchele wa basmati kuwa Boko sio rahis unachofanya basmati unaloweka Ile ya kawaida niliosha nikakaa kma dakika 5 nikaweka na haukuwa Boko sema Mimi Huwa napalia nisipopika wali kwenye mkaa sielewag 😀
 
Unachanganya nilipika basmati nusu na robo mchele wa kawaida nikaiweka robo Ilikuwa tamu sana na halikumwagika kama inavokuwaga ulichambuka vizuri

Mchele wa kawaida nishawah jaribu sikuupenda
Ookayyy,,nitajaribu hii method
 
Back
Top Bottom