Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji...
2 Reactions
15 Replies
622 Views
Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani MAHITAJI NILIYOTUMIA; Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black...
7 Reactions
16 Replies
869 Views
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui...
25 Reactions
68 Replies
2K Views
Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
8 Reactions
62 Replies
1K Views
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu...
1 Reactions
11 Replies
607 Views
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
14 Reactions
165 Replies
5K Views
Kwa kiingereza tungeita street food festival). Hizi karamu sio za msimu bali zimekuwa sehemu ya maisha ya watu daily uswahilini, usijali sana ubora na usalama wake, vina ladha yake fulani...
46 Reactions
209 Replies
17K Views
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji! Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
15 Reactions
266 Replies
5K Views
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Curry si lazima iwe na viungo vyovyote vya kusagwa bali huwa na pilipili hoho, karafuu, maganda ya iliki, vijiti vya mdalasini, karafuu, na pilipili.asili yake west asia Neno Masala, kwa upande...
0 Reactions
8 Replies
505 Views
Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo. Ni mara chache nno kuona chakula...
28 Reactions
124 Replies
24K Views
Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu Leo tupike ndiz nyama za Nazi Mahitaji Ndizi mbichi mzuzu Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi) Karot na hoho Nyama...
20 Reactions
51 Replies
1K Views
Pweza wanaouzwa mtaani mara nyingi huandaliwa kwa njia za kiasili, ambazo ni rahisi na zinazojulikana katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki, hasa Tanzania. Kwa kawaida, hawa pweza...
1 Reactions
5 Replies
297 Views
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda! Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilinunua Mayai thelethini ya kuku wa kienyeji. Kwa ajili ya kula. Nimetumia mayai kama 10. Halafu ukapita muda kama wiki. Bila kula mayai. Juzi nikachukua kuchemsha, naona ni...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku...
15 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom