Beberu ni mbuzi dume.
Kinyume cha beberu ni mbuzi jike.
Ukitamka tu mbuzi inafahamika unamzungumzia mbuzi jike.
Viongozi wa Tanzania, hasa wa nrengo wa kijamaa, wamekuwa na kawaida ya kuziita nchi za Magharibi MABEBERU!
Kea kuwaita Wazungu Mabeberu, wao watakuwa wamejiweka kundi gani?
Nao...
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.
Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.
Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho...
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa
Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono...
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe.
Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani.
Sasa Rais aliyepinduliwa...
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa...
Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga.
Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe.
Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga.
Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameurudisha bungeni muswada wa sheria ya sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Msemaji wa Rais, Bw.Sandor Walusimbi amesema, Rais Museveni amependekeza marekebisho ya adhabu kwenye muswada huo kabla hajausaini.
Kwa sasa muswada huo unatoa adhabu ya...
Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.
Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi...
Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza.
Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho.
"Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Wasalaam wana JF
Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone. Nimekua sasa, hakika ya ulimwengu na malimwengu ni mengi na ya kustaajabisha.
katika kipindi fulani niliaminishwa kwamba kuwa mnyonge ndiyo alama ya uzalendo na kwamba asiye utaka unyonge ni kibaraka wa mabeberu au ni beberu kuu lenyewe...
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni.
Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa?
Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu
Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti
Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.