Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.
Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi
Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze.
Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari
Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa
Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20
Syria...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana.
Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000)
Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na...
Msitu wa miti unaouona leo ni matokeo ya miche iliyopandwa na kulindwa kwa miaka mingi hapo nyuma”
Maisha yako ya leo sio ya leo bali ya miaka mingi ya nyuma. Kile ulichokuwa unakifanya miaka kadhaa iliyopita ndicho kilichokupa maisha yako ya leo. Kama unafurahia maisha yako leo ujue kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa?
Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati
Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi
Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe.
Nataka...
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania
Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania.
Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile...
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu.
Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.
Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
Mwendeshaji wa kituo cha kulelea watoto Kiambu afikishwa mahakamani kwa kutumia watoto kutengeneza video za ngono
Mwanamke anayesimamia kituo cha kulelea watoto katika Soko la Wangige, Kaunti ya Kiambu, amekamatwa kwa tuhuma za kuwadhulumu kingono watoto wadogo. Kulingana na nyaraka za...
Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online
Kipengele muhimu usifanye kujaribisha
Zingatia sana
Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua
Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye
Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
Salaam Wana JF.
Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video?
Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.