Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa.
Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma:
1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala
weekend hii niliamua kutengeneza kokoto
mahitaji
.Unga wa ngano
.sugar
.baking powder
.chumvi
.irick
.maji
.blueband
. mafuta
chukua unga...
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa.
Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza makombora yake yenyewe yenye uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya Russia.
Ukraine imetoa picha za...
Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana.
Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.
Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.