video za ngono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  2. ndege JOHN

    Ni yapi hasa matumizi ya video za ngono kiasi kwamba mtu anatumia mpaka gharama kuyatafuta?

    Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono. Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi kwamba mtu yupo tayari ajiunge bando la internet hata mara tano kwa siku ili tu aone maudhui hayo...
  3. Tafakari_nami

    Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

    Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda. Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video...
  4. Hemedy Jr Junior

    Wasanii wa kike wote waliotoka wako na skendo za picha za ngono/ video za ngono na serikali inafumbia macho

    • WemaSepetu • Aunt Ezekiel • Nandy • Lulu diva • Amber lulu • Amber Ruty • Gigy money • Divadeboss • Jackline Wolper • ....... 📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
  5. The Evil Genius

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  6. Keynez

    UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  7. Jade_

    SoC01 Uraibu wa Ponografia

    `Kuna mtu hapa Jamii Forum alielezea kisa chake na kwamba anaweza kujifungia ndani akiangalia video za ngono huku akipiga punyeto kwa masaa hata 12. Kuna watu walifikiri hii ni “chai” (uongo) lakini watu wanapata sana hizi shida ila hawawezi kuongea kwa kuwa ni aibu kwenye jamii. Unaweza kukuta...
  8. BabaMorgan

    Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  9. Mhafidhina

    Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...! - Tatizo jingine la mdau wa JF. ========= MAONI NA USHAURI WA WANAJF 1. 2. 3.
  10. Miss Curious

    Nimekuwa addicted mkubwa wa video za ngono

    Kama title inavyojieleza, yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kwenye group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know. Kwa wanaojua magroup ya WhatsApp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi...
Back
Top Bottom