Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika .
Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
Habari wanajamvi,
Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako.
Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
Wakuu
Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda
📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6
📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda
Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na usimamizi wa taka ngumu katika Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam.
Mratibu wa Mradi wa Benki ya...
KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani.
Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao.
Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu hapa nchini, mimi naona ni muhimu kuanzishwe mfumo mpya utakaofanya wanawake wa vyama mbalimbali wapambane kutafuta kura kwa wananchi moja kwa moja kuliko mfumo wa sasa ambapo viti hivyo vinaonekana kama fadhila au hisani za viongozi kwa wanawake kuliko stahili yao...
Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya ni vurugu TU (nuisance), wananchi hawawaelewi mnachomaanisha, ndiyo maana maandamano yenu...
UVCCM YAGAWA SIMU 20,KADI ZA CCM 8,000 NA UVCCM 1,000 KUZIDI KUIMARISHA USAJILI WA WANACHAMA KIELEKTRONIK, MKOA WA LINDI
Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM ndugu Mohammed Ali Kawaida jana tarehe 12 Septemba,2024 amewasili Mkoani Lindi kwaajili ya Hamasa day katika wilaya ya...
Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo;
a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically'
b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS'
c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.
Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.