UTANGULIZI
Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii:
Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
Utangulizi
Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
Utangulizi:
Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
"Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli hiyo itolewe na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Suala la iwapo...
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio
2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
JK KINARA UTAFUTAJI FEDHA ZA KUIMARISHA ELIMU AFRIKA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya...
Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study
Utangulizi:
Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
VYOMBO vya habari vina dhima na jukumu la kusaidia katika kuimarisha demokrasia hususan katika kuelimisha umma masuala ya uchaguzi ili waweze kushiriki kwa ukamilifu katika uchaguzi na kuimarisha demokrasia ya ushiriki wa wananchi kwa ukamilifu.
Akizungumza katika kongamano la wadau wa habari...
Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi.
Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi...
Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda ilisema kuwa ziara ya...
Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu.
1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano
• Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.
Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali.
“Ni kweli...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi.
Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile.
Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.