kamili

Moasseseh-ye Kamili (Persian: موسسه كميلي‎, also Romanized as Moasseseh-ye Kamīlī) is a village in Veys Rural District, Veys District, Bavi County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 24, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. OCC Doctors

    Dozi kamili ya Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' kwa wajawazito

    Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20. Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16, Dozi ya...
  2. Webabu

    Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
  3. ChoiceVariable

    Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

    Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha. Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023. Tukilinganisha na Wenzetu Kenya wao wana maprofesa 1,619 Kwa...
  4. K

    Wananchi wapewe mamlaka kamili ya kuwashtaki viongozi wanaoingilia majukumu yasiyo yao

    Tume ya maboresho ya mfumo wa haki jinai ikiwa imemaliza kazi yake na ripoti yake kuwasilishwa Kwa Mhe. Rais Kwa hakika mapendekezo yake kama yakifanyiwa kazi, mfumo wa upatikanaji wa haki Tanzania utaboreka na kuimarika. Na niseme kwamba maboresho hayo ni sawa na kuifumua katiba iliyopo na...
  5. Sci-Fi

    Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  6. Mkwawe

    Wazanzibari wakati muafaka wa kuwa na mamlaka yenu kamili ni Sasa, Hakuna wakati mwingine

    Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa...
  7. S

    TAKUKURU chunguzeni haraka madai ya uwepo wa rushwa kwa wabunge kuhongwa na Waziri Makamba

    KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII. MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA...
  8. Ulongupanjala

    Miaka 10 kamili ndani ya JF.

    Heri ya sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo. Leo ni miaka 10 kamili tangu nimejiunga hapa JF 09 Aprili 2013. Wengine mlikuwa bado wachanga,wengine shule,wengine mlikuwa huko vijijini kwenu ambako hakuna internet lakini Mungu ni mwema leo wote tupo JF na tunasoma nyuzi za kila aina. Ndani ya miaka...
  9. MR LINKO

    Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  10. NetMaster

    Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

    Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ? Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo. Nina shughuli yangu kuu, hili duka...
  11. Komeo Lachuma

    Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

    Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda. Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua. Kila mara magari...
  12. M

    Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  13. BARD AI

    Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALI
  14. P

    Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  15. Raymanu KE

    Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

    Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo; 1.Betting & gambling 2.Keyboard warrior( internet) 3.Masterbation( punyeto & kujichua) 4.Sigara/ bangi/shisha...
  16. NetMaster

    Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  17. BARD AI

    Kenya 2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Ni jambo moja tu linaloweza kumfanya mwanaume kamili akalia

    Twambombo wakuu! Mwanaume kulia ni mwiko! Haipendezi mwanaume aliyekomaa kulialia. Hata hivyo lipo jambo moja linaloweza mfanya mwanaume alie kama mtoto mdogo, nalo ni kifo. Kifo kwa wahusika wafuatao 1. Wazazi au mlezi Mwanaume anaweza akalia kwa kifo cha mama au baba yake aliyemlea. Zingatia...
Back
Top Bottom