Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.
Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote.
Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando.
Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam
Ni nini...
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano.
Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani.
Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja.
Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
It is trending now.
Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.
Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe.
Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki.
Mdogo...
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo...
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla.
Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru sana. Sasa atulie tu ale taratibu. Mama ana huruma hawa jamaa walipata mateso sana na shida wakati ule...
Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.
Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu.
Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo...
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.
1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine!
Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.