Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,425
- 36,027
Kwa hapa Tanzania taasisi nyingi binafsi (hususani za mitandao na hata Radio au Tv) hazina ajira rasmi kwa watumishi wake wengi. Malipo huwa ni posho, tena kwa siku, wiki au kazi. Zimekaa kishkaji mnoo, ni kwa sababu kiuchumi zinaunga unga sana.
Hivyo watu wapo kujishikiza tu, na wamiliki wanawaambia live kuwa kama ukiona hicho wanachokupa hakikutoshi kuvuta siku, basi sepa tu, maana wahitaji wa hiyo nafasi wako wengi wanasubiria.
Hivyo watu wapo kujishikiza tu, na wamiliki wanawaambia live kuwa kama ukiona hicho wanachokupa hakikutoshi kuvuta siku, basi sepa tu, maana wahitaji wa hiyo nafasi wako wengi wanasubiria.