Life insurance ni moja kati ya reasons za juu kabisa za mauaji huko majuu....
Ikija bongo hii wanandoa watauana sana
Even watoto wavivu wataua sana wazazi wao
Na vile hatupo vizuri kwenye kitengo cha forensics si tutakichezea sana .
 
Na vile hatupo vizuri kwenye kitengo cha forensics si tutakichezea sana .
Imagine..... binafsi ikifika bongo labda iwe kwa lazima, but hiyari NEVER... can never let a person know that he/she will definitely benefit from death by X amount.. no way
 
Watanzania bwana, wanawalalamikia polisi, kwani nani aliyempeleka dereva hospitali? Kwanini asimpeleke na marehemu?
Kuna mtu anasema ati Zuchu alishafariki ndio sababu ilikuwa lazima waje polisi, nani alithibitisha yule mtu amefariki? Hata polisi hawathibitishi iweje raia useme huyu kafa?
Anyway, mtu anasema marehemu alikaa pale mpaka saa nne asubuhi, kujazana upepo tu.
Kweli polisi wetu wazembe ila hawawezi kuchelewa eneo la tukio hivyo. Hiyo haipo!

Kweli digrii ni makaratasi tu.
 
Imagine..... binafsi ikifika bongo labda iwe kwa lazima, but hiyari NEVER... can never let a person know that he/she will definitely benefit from death by X amount.. no way
Mbona ipo siku nyingi. Mimi nimekata Bima ya maisha beneficiary mtoto wangu msimamizi mdogo wangu na mama wa mtoto anajua.
 
Mbona ipo siku nyingi. Mimi nimekata Bima ya maisha beneficiary mtoto wangu msimamizi mdogo wangu na mama wa mtoto anajua.
Ukipata ufe insurance mke na watoto hawatakiwi kujua. Na utakaemwambia hatakiwi kujua kiasi. Wewe haujakata maana ukikata watakushauri nani wa kumwambia.
 
Back
Top Bottom