Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
hahah si ndo hapo kwani kugongewa sh ngapi akagongwe tuu
 
Kama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti unadai ni kwa sababu Wanawake tunaomba sana ela....kweli???Chaaaaaa.. .
Naomba nikuambie ukweli kaka USO mkavu wewe hapo usio na haya hata nukta, na ukarekodi tena kuwajulishe wanaume suruali wenzako wajue kabisa.....
.
Mwanaume kama huna pesa wewe ni bureeeee kwa mwanamke.. Tena nawashauri bora usifanye kabisa urafiki na mwanamke aisee kama huna kitu... Tafuta kwanza kitu kinaitwa pesa... Kwanza wewe kaka umesimama hapo unakaza mishipa unadai kabisa eti Wanawake TUNAOMBA sana ela... Ivi kwanini unasubiri KUOMBWA???? Aiseee utagongewa tuu kama unasubiria Mkeo akuombe pesa!! Yaani Mwanamke wako unangoja akuombe pesa????? Ngachokaaaaa
.
Yaani kama kuna kitu natamani wanangu wakue wakikijua fika na wakifanyie kazi mapema ni kutafuta kwanza kabisa Mungu ufalme wa mbingu, pili PESA PESA PESA PESAAAAAS za kutosha kabla ya kuhangaika na viumbe vinavyoitwa wanawake....
.
Mwanaume popote ulipo ukitaka heshima kwa mwanamke wakwako na wa nje tafadhali sana uwe na pesa za kutosha , Bila pesa hata nyeg*e atakuwa hana.. na tena usingoje akuombeee pesa jamani wewe vipiiii... Uwe unampa kabla hajakwambia anaomba pesa....kwani kujui mwanamke matumiziiii shopping?????
.
Kiukweli Wanawake wengi Siku hizi tumeamua kupiga kazi kwa sababu wanaume wetu wengi wa kitanzania wameacha majukumu yao ya msingi ya kuwatunza wake zao na watoto, Wanaume wengi wamening'iniza boli zao wanasubiri walelewe na wake zao... Hiyo ni mbaya sanaaa... Woyi... Hapo huwezi kuheshimiwa kamweeeeeee???? Au kinamama mnasemaje?????? Ni sawa wasubirie hadi tuwaombe ela kweli??? Eti mpaka umwambie unataka laki tano ukasuke rasta kwa kiria, na nguo mbili tatu, ujifunze make up kwa kiria!!! Jamani hadi umuombe???? Ooooote Mae.... Mbona mambo yetu yaleee hawasubirii tuwaombe??? Tena wanatubaka
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
heshima ya Mwanaume pesa....
.
Ngachokaaaaaaa

kwa hisani ya Joyce Kiria
ngoja nipite hivi
 
Mmh uyu uyu?

Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
 
:p:p:ppyeeeeee...... Sikufanikiwa kubadili maji kuwa divai.....
Mweeeeh!! Umesemaje eti 'pyeeeeee'aiseee sikujua natwanga maji kwenye kinu muda wote.

If huwezi kubadili maji kuwa divai mbona umekazana kumshauri kiria na wanawake wengine wakati wa kwako tu kakushinda unabaki kumshangaa!!!
 
Bill Gates wenyewe aliacha shule aliona Shule ungese tu. Mike wa facebook nae aliona shule umaku u akaachilia mbali, huyo wa whats up nae hivo hivo aliona ni kuchoshana tu. WAKINGA WANGAPI HAWAJUI HATA KUANDIKA MAJINA YAO WANA MILIKI GHOROFA HATA 10.

WASOMI WASIPOBADILIKA HAPA BONGO WATAKUFA MASIKINI KILA LEO. Kabisaa UNAJINADI NA CHETI AMBACHO NI KARATASI TU HATA KUKOPEA LAKI UPEWI.
Wape vidonge vyao siku zote wasomi hufa masikini,jiongeze baba,sio kulalama tu eti wanawake wanaomba hela,wanaume wa siku hizi sijui wapoje ni kulalamika tuu,mnatia aibu jamani
 
Sasa kama baba hana hela si uzembe wake na mkewe!! Thats aint my fault.
Duuh, dada hapo uliposema

"Kama Baba yako hana hela ni uzembe wake na mkewe" Unakosea sana.

Unaamini kuwa hawana pesa kwasababu ya Uzembe wao?

Its better u think again. Just advice.
 
Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.

Cosigned!

And that's the very reason why I called her a simpleton.

No woman of unquestioned moral rectitude would ever extol such a demeaning vice.
 
Duuh, dada hapo uliposema

"Kama Baba yako hana hela ni uzembe wake na mkewe" Unakosea sana.

Unaamini kuwa hawana pesa kwasababu ya Uzembe wao?

Its better u think again. Just advice.
Ndio ni uzembe, we kwani unaonaje?
 
Back
Top Bottom