Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,636
- 28,648
Ngumu kuwaelewa,vijana wasasa wanajitahidi kukwepa majukumu. Ila kula mzigo wanatakaAsante dear ila nadhani nina bahati zaidi kutambua haya mapema japo
nilijifunza via the hardway.
Nashindwa kuelewa vijana wanaoupinga ukweli huu. Siwaelewi kwa kweli.