Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

wambeke

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
2,655
2,645
Kama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti unadai ni kwa sababu Wanawake tunaomba sana ela....kweli???Chaaaaaa.. .
Naomba nikuambie ukweli kaka USO mkavu wewe hapo usio na haya hata nukta, na ukarekodi tena kuwajulishe wanaume suruali wenzako wajue kabisa.....
.
Mwanaume kama huna pesa wewe ni bureeeee kwa mwanamke.. Tena nawashauri bora usifanye kabisa urafiki na mwanamke aisee kama huna kitu... Tafuta kwanza kitu kinaitwa pesa... Kwanza wewe kaka umesimama hapo unakaza mishipa unadai kabisa eti Wanawake TUNAOMBA sana ela... Ivi kwanini unasubiri KUOMBWA???? Aiseee utagongewa tuu kama unasubiria Mkeo akuombe pesa!! Yaani Mwanamke wako unangoja akuombe pesa????? Ngachokaaaaa
.
Yaani kama kuna kitu natamani wanangu wakue wakikijua fika na wakifanyie kazi mapema ni kutafuta kwanza kabisa Mungu ufalme wa mbingu, pili PESA PESA PESA PESAAAAAS za kutosha kabla ya kuhangaika na viumbe vinavyoitwa wanawake....
.
Mwanaume popote ulipo ukitaka heshima kwa mwanamke wakwako na wa nje tafadhali sana uwe na pesa za kutosha , Bila pesa hata nyeg*e atakuwa hana.. na tena usingoje akuombeee pesa jamani wewe vipiiii... Uwe unampa kabla hajakwambia anaomba pesa....kwani kujui mwanamke matumiziiii shopping?????
.
Kiukweli Wanawake wengi Siku hizi tumeamua kupiga kazi kwa sababu wanaume wetu wengi wa kitanzania wameacha majukumu yao ya msingi ya kuwatunza wake zao na watoto, Wanaume wengi wamening'iniza boli zao wanasubiri walelewe na wake zao... Hiyo ni mbaya sanaaa... Woyi... Hapo huwezi kuheshimiwa kamweeeeeee???? Au kinamama mnasemaje?????? Ni sawa wasubirie hadi tuwaombe ela kweli??? Eti mpaka umwambie unataka laki tano ukasuke rasta kwa kiria, na nguo mbili tatu, ujifunze make up kwa kiria!!! Jamani hadi umuombe???? Ooooote Mae.... Mbona mambo yetu yaleee hawasubirii tuwaombe??? Tena wanatubaka
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
heshima ya Mwanaume pesa....
.
Ngachokaaaaaaa

kwa hisani ya Joyce Kiria
 
Haloooooooooo ya FREE P.

hIVI KWANZA unaanzaje anazaje kushusha kufuli hela hujaionaaa? Mmmmmhh! Kugawa bure nacho kipaji.

Kuliko kufiribwa firibwa BUREEEEEEE si bora tu UTUBU UMRUDIE MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUOKOE NA KUKUBARIKI. Bure utoe na moto uchomwe khaaaaaaa!
 
Kama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti unadai ni kwa sababu Wanawake tunaomba sana ela....kweli???Chaaaaaa.. .
Naomba nikuambie ukweli kaka USO mkavu wewe hapo usio na haya hata nukta, na ukarekodi tena kuwajulishe wanaume suruali wenzako wajue kabisa.....
.
Mwanaume kama huna pesa wewe ni bureeeee kwa mwanamke.. Tena nawashauri bora usifanye kabisa urafiki na mwanamke aisee kama huna kitu... Tafuta kwanza kitu kinaitwa pesa... Kwanza wewe kaka umesimama hapo unakaza mishipa unadai kabisa eti Wanawake TUNAOMBA sana ela... Ivi kwanini unasubiri KUOMBWA???? Aiseee utagongewa tuu kama unasubiria Mkeo akuombe pesa!! Yaani Mwanamke wako unangoja akuombe pesa????? Ngachokaaaaa
.
Yaani kama kuna kitu natamani wanangu wakue wakikijua fika na wakifanyie kazi mapema ni kutafuta kwanza kabisa Mungu ufalme wa mbingu, pili PESA PESA PESA PESAAAAAS za kutosha kabla ya kuhangaika na viumbe vinavyoitwa wanawake....
.
Mwanaume popote ulipo ukitaka heshima kwa mwanamke wakwako na wa nje tafadhali sana uwe na pesa za kutosha , Bila pesa hata nyeg*e atakuwa hana.. na tena usingoje akuombeee pesa jamani wewe vipiiii... Uwe unampa kabla hajakwambia anaomba pesa....kwani kujui mwanamke matumiziiii shopping?????
.
Kiukweli Wanawake wengi Siku hizi tumeamua kupiga kazi kwa sababu wanaume wetu wengi wa kitanzania wameacha majukumu yao ya msingi ya kuwatunza wake zao na watoto, Wanaume wengi wamening'iniza boli zao wanasubiri walelewe na wake zao... Hiyo ni mbaya sanaaa... Woyi... Hapo huwezi kuheshimiwa kamweeeeeee???? Au kinamama mnasemaje?????? Ni sawa wasubirie hadi tuwaombe ela kweli??? Eti mpaka umwambie unataka laki tano ukasuke rasta kwa kiria, na nguo mbili tatu, ujifunze make up kwa kiria!!! Jamani hadi umuombe???? Ooooote Mae.... Mbona mambo yetu yaleee hawasubirii tuwaombe??? Tena wanatubaka
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
heshima ya Mwanaume pesa....
.
Ngachokaaaaaaa

kwa hisani ya Joyce Kiria
hivi ni mwanamke gani yule alisema amelala na wanawake wengi karibia mia tatu (300) atu mwanamke mzuri kama yeye anayetongozwa na wanaume wengi itashindikanaje kulalwa na wanaume wengi?hhhahaha nilicheka sana.

hivi joyce alikuwa housegirl? shule yake vipi? historia yake ya ndoa ikoje, mume wake wa ndoa ambaye hata Mungu ndiye anayemtambua nilisikia ni dj sijui kama kweli. mwanamke akishatoa talaka tena kwa mbwembwe, siku zote huwa ni mwanamke nusu, na ndio maana mwanamke wa aina hiyo anaweza kuwa na hasira kweli na wanaume, kwasababu alipigwa chini.
 
Back
Top Bottom