Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,820
- 10,019
Unaambiwa tembea uone. Wanawake wa Kigoma ni wapambanaji kupita maelezo, hujishughulisha na biashara za hapa na pale ilimradi kupata ahueni ya maisha, ukitelekeza familia ya hata watoto kumi ambao mama yao ni mha, jua tu wanao wako mahala sahihi. Wale ni wapambanaji sana na watunzaji wazuri wa familia, wanawake hawa ni waaminifu sana kwa waume zao, pia wavumilivu sana
Tatizo la wanawake hawa hupenda wanaume ambao hawajimudu kabisa kimaisha, ule msemo wa natafuta mwanaume asiye na mali tuanze kuchuma wote ulianzia kwao. Wanawake hawa hupenda sana kuishi na wanaume ambao hawana muelekeo kabisa almaarufu kama Marioo, hao huwavisha na kuwalisha, kibaya zaidi huwatumikisha majukumu ya kimama mama kama kuwaagiza sokoni, kuwapakulisha vyakula, kunawishia mikono wageni pia kama kifaa cha kubezwa mbele ya watu kama kigezo cha kuonesha umwamba mbele za watu
Tatizo la hawa wanawake ni wabishi sana kupita maelezo, hawako tayari kukili kosa ama kukubali kushindwa
Hivyo basi, popote ulipo ukiwa kama mwanaume unatakiwa kudamka hapo kitandani ulipo bila kujali ni sikukuu ama ni siku ya serikali, uende ukatafute pesa ili kuepuka kuitwa Mwanaume Jalala
N.B: Usikubali kuendeshwa