Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,977
- 5,934
Ndugu zangu
Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao
Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi wanaume kupata hasara kubwa sana kwenye maisha yetu
Mbali na yote utagundua kabisa pale unapoulizwa unafanya kazi gani moja kwa moja, lengo la mwanamke wa sasa ni kukupima wewe kama mtaji wake , je, utamuwezesha kufikia malengo yake katika mahusiano au awapange msururu ili ajipatie vya kutosha
Na yote hayo bidhaa tunazo uziwa na wanawake direct and indirect kwa kivuli cha biashara ya mahusiano zimekua na mikosi mingi sana kwenye maisha yetu wanaume, wanaume wengi sana wanalia na wengine kukataa ndoa moja kwa moja kutokana na hasara kubwa wanayoipata kutoka kwa hawa viumbe
Utagundua katika hii biashara wanawake wana watumia wanaume kama source of income pasi na kujali lolote, utagundua wewe ndiye unapaswa kuibrand bidhaa kwa garama kubwa huku ikiendelea kubakia kwa muuzaji , utagundia hela zote unazo ombwa na kugharamika haswa ni income kwa wanawake na siyo vinginevyo
Ili uwe nae atajifanya antaka kukujua kwa wema kumbe anakuchunguza wewe mwanaume kama source of income yake una asset gani na gani na gani, ni vipi unavimiliki vitakavyo mfanya anufaike kwako nasiyo kujipata na hasara yoyote ile na akigundua huna cha maana utaishia kuachwa na anaenda kwa wanaume wengine
Mbaya zaidi ukiburuzwa dawatini utagundua yale madawati yapo kwaajili yao nasiyo kwaajili yako mwanaume, utagundua katika haya mahusiano ya kibiashara anaefaidi zaidi ni wanawake nasiyo wanaume na haijalishi umegharamika kiasi gani hautosikilizwa kabisa ukae ukijua.
Hawa wanawake wameyageuza mahusiano biashara hakika na waambieni