Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,270
- 118,569
Down yours.
Take a hike.
Down yours.
Kwani hawana hata maendeleo yao binafsi au? Teh tehWangebana na maendeleo tukayaona unadhani kungekuwa na shida basi!!!
hahah si ndo hapo kwani kugongewa sh ngapi akagongwe tuuWatu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
ngoja nipite hiviKama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti unadai ni kwa sababu Wanawake tunaomba sana ela....kweli???Chaaaaaa.. .
Naomba nikuambie ukweli kaka USO mkavu wewe hapo usio na haya hata nukta, na ukarekodi tena kuwajulishe wanaume suruali wenzako wajue kabisa.....
.
Mwanaume kama huna pesa wewe ni bureeeee kwa mwanamke.. Tena nawashauri bora usifanye kabisa urafiki na mwanamke aisee kama huna kitu... Tafuta kwanza kitu kinaitwa pesa... Kwanza wewe kaka umesimama hapo unakaza mishipa unadai kabisa eti Wanawake TUNAOMBA sana ela... Ivi kwanini unasubiri KUOMBWA???? Aiseee utagongewa tuu kama unasubiria Mkeo akuombe pesa!! Yaani Mwanamke wako unangoja akuombe pesa????? Ngachokaaaaa
.
Yaani kama kuna kitu natamani wanangu wakue wakikijua fika na wakifanyie kazi mapema ni kutafuta kwanza kabisa Mungu ufalme wa mbingu, pili PESA PESA PESA PESAAAAAS za kutosha kabla ya kuhangaika na viumbe vinavyoitwa wanawake....
.
Mwanaume popote ulipo ukitaka heshima kwa mwanamke wakwako na wa nje tafadhali sana uwe na pesa za kutosha , Bila pesa hata nyeg*e atakuwa hana.. na tena usingoje akuombeee pesa jamani wewe vipiiii... Uwe unampa kabla hajakwambia anaomba pesa....kwani kujui mwanamke matumiziiii shopping?????
.
Kiukweli Wanawake wengi Siku hizi tumeamua kupiga kazi kwa sababu wanaume wetu wengi wa kitanzania wameacha majukumu yao ya msingi ya kuwatunza wake zao na watoto, Wanaume wengi wamening'iniza boli zao wanasubiri walelewe na wake zao... Hiyo ni mbaya sanaaa... Woyi... Hapo huwezi kuheshimiwa kamweeeeeee???? Au kinamama mnasemaje?????? Ni sawa wasubirie hadi tuwaombe ela kweli??? Eti mpaka umwambie unataka laki tano ukasuke rasta kwa kiria, na nguo mbili tatu, ujifunze make up kwa kiria!!! Jamani hadi umuombe???? Ooooote Mae.... Mbona mambo yetu yaleee hawasubirii tuwaombe??? Tena wanatubakaheshima ya Mwanaume pesa....
.
Ngachokaaaaaaa
kwa hisani ya Joyce Kiria
Mmh uyu uyu?
Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
He hee na ndohivo sasa,kila mtu akae na chake,mambo ya kulalamikiana yaisheTeh basi solution ni kuwanyima tu utamu. Akae na hela zake na wewe ukae na kidude chako, mnyimane tu, hakuna atakayelalamika. Au vipi?
Mweeeeh!! Umesemaje eti 'pyeeeeee'aiseee sikujua natwanga maji kwenye kinu muda wote.pyeeeeee...... Sikufanikiwa kubadili maji kuwa divai.....
Haha nasubiri nione nani ataanza kuliaHe hee na ndohivo sasa,kila mtu akae na chake,mambo ya kulalamikiana yaishe
Kula tu ndo napendaHV NAWW UNAPENDA KULIWA AMA?
Wape vidonge vyao siku zote wasomi hufa masikini,jiongeze baba,sio kulalama tu eti wanawake wanaomba hela,wanaume wa siku hizi sijui wapoje ni kulalamika tuu,mnatia aibu jamaniBill Gates wenyewe aliacha shule aliona Shule ungese tu. Mike wa facebook nae aliona shule umaku u akaachilia mbali, huyo wa whats up nae hivo hivo aliona ni kuchoshana tu. WAKINGA WANGAPI HAWAJUI HATA KUANDIKA MAJINA YAO WANA MILIKI GHOROFA HATA 10.
WASOMI WASIPOBADILIKA HAPA BONGO WATAKUFA MASIKINI KILA LEO. Kabisaa UNAJINADI NA CHETI AMBACHO NI KARATASI TU HATA KUKOPEA LAKI UPEWI.
Wangekuwa nayo yangewagusa wapi hayo ya kiria?Kwani hawana hata maendeleo yao binafsi au? Teh teh
Duuh, dada hapo uliposemaSasa kama baba hana hela si uzembe wake na mkewe!! Thats aint my fault.
Haha haya basi kalale khaa, utakuta daddy kakuandalia talaka yakoWangekuwa nayo yangewagusa wapi hayo ya kiria?
Kuna mtu aliuliza eti utamu si mnapata wote???He hee na ndohivo sasa,kila mtu akae na chake,mambo ya kulalamikiana yaishe
Wao ndo wataanza,ngoja uone kama nyuzi hazijabadili upepo humuHaha nasubiri nione nani ataanza kulia
Dady yako kaninunia, hata sijui yuko wapi, hizi pesa zitanitoa roho hadi nasahau mume!Haha haya basi kalale khaa, utakuta daddy kakuandalia talaka yako
Basi kawepo ka-mgomo baridi nienjoy mieWao ndo wataanza,ngoja uone kama nyuzi hazijabadili upepo humu
Nyuzi nyingi watafungua kuunga mkono hoja kwamba ni wajibu wao kuhudumia teh
Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
Ndio ni uzembe, we kwani unaonaje?Duuh, dada hapo uliposema
"Kama Baba yako hana hela ni uzembe wake na mkewe" Unakosea sana.
Unaamini kuwa hawana pesa kwasababu ya Uzembe wao?
Its better u think again. Just advice.