Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    555
Fact ni fact tu ama uwe na akili au usiwenazo

Kama akili zako zinakufanya uamini jua lina ukubwa kama mpira wa miguu kwasababu ndivyo unavyoliona hizo zitakua ni akili zako tu na sio FACT
Fact na kujua kuhusu fact ni vitu viwili tofauti.....fact always ipo kama ilivyo ila kujua kuhusu fact ndiyo itakubidi utumie akili.

Kama akili zako zinakufanya uamini kwamba unahitaji Dunia ziwe takribani 109.86 ili ziweze kufit ndani ya Jua,.hizo pia zitakua ni akili zako Tu na sio fact.

So,ikiwa ninachokiamini Kwa upande wako unaona si fact basi na Mimi Nina room hiyo hiyo ya kuona unachokiamini sio fact,.. unless uwe na uthibitisho usio na shaka kuhusu madai yako.
 
Yangekuwa yanaappear flat ungeona mpaka mwisho wa dunia kama vile unavyoweza kuona nyota na vitu vilivyopo kwenye anga la mbali
So,.. unataka kusema hizo water bodies zina appear Kwa shape gani?, Je, hazipo level?

Mwisho wa Dunia ni wapi?

The same way huwezi kuona mwisho wa anga la Dunia au universe Kwa ujumla wake,.. ndiyo hivyo hata mwisho wa Dunia huwezi kuuona pia.
 
Zina appear kama vitu vingine vyote vinavyoappear duniani.
Mwisho wa Dunia ni wapi?
Mwisho wa dunia si ni kule kwenye Ice walls? sijui kwanini kusingekua na kuta za miti, labla ni kwa kua maji yangetoroka.
The same way huwezi kuona mwisho wa anga la Dunia au universe Kwa ujumla wake,.. ndiyo hivyo hata mwisho wa Dunia huwezi kuuona pia.
Naona vya kutosha, mfano mwepesi ni space station iliyo km 400 kutokea duniani, lakini taa za Zanzibar zilizopo approx 60 km kutokea kwenye pwani ya dar hazionekani.
 
Mwisho wa dunia si ni kule kwenye Ice walls? sijui kwanini kusingekua na kuta za miti, labla ni kwa kua maji yangetoroka.
Nani kakuambia mwisho wa Dunia ni huko kwenye ice walls?
Naona vya kutosha, mfano mwepesi ni space station iliyo km 400 kutokea duniani, lakini taa za Zanzibar zilizopo approx 60 km kutokea kwenye pwani ya dar hazionekani.
Sawa,kama unaona vya kutosha,.... unaweza kututajia object uliyoshuhudia Kwa macho yako yoyote iliyopo billion miles in the sky.?
 
Fact na kujua kuhusu fact ni vitu viwili tofauti.....fact always ipo kama ilivyo ila kujua kuhusu fact ndiyo itakubidi utumie akili.

Kama akili zako zinakufanya uamini kwamba unahitaji Dunia ziwe takribani 109.86 ili ziweze kufit ndani ya Jua,.hizo pia zitakua ni akili zako Tu na sio fact.

So,ikiwa ninachokiamini Kwa upande wako unaona si fact basi na Mimi Nina room hiyo hiyo ya kuona unachokiamini sio fact,.. unless uwe na uthibitisho usio na shaka kuhusu madai yako.
Fact is fact, red is red, kuku ni kuku, round earth ni round earth haijalishi macho yako yanaona nini wala akili yako ipoje

Who cares unaamini nini? Hatuongelei IMANI hapa wewe amini unachoamini
Mimi naongelea FACT

Kama akili yako unaamini Red ni yellow hiyo ni imani yako wala haiwezi kubalisha fact kwamba red ni red
 
Hahh huongelei Imani hapa,.wakati huo huo wewe ni muumini wa Dunia Tufe linalozunguka?!

Inashangaza.
 
Nani kakuambia mwisho wa Dunia ni huko kwenye ice walls?

Sawa,kama unaona vya kutosha,.... unaweza kututajia object uliyoshuhudia Kwa macho yako yoyote iliyopo billion miles in the sky.?
Dah, wewe vya kilomita 60 tu huvioni alafu unataka tuongelee vya billion miles kweli?
 
Mwanzo ulisema unaweza kuona mpaka space station iliyopo km 400 kutokea Duniani.....

Au sio wewe uliyedai hivyo?

NB:- Macho yana limitation ya kuona, limitation ambayo inatokana na factors mbalimbali ikiwemo distance, obstacles na kadhalika.
 
Uthibitisho upo shahiri lakini wewe huutaki

Ndio maana nikakwambia tatizo ni AKILI yako
No., Tatizo sio akili yangu.

Tatizo huna uthibitisho.

Kwa mfano hakuna Mtu wala taasisi yoyote Ile iliyowahi kuthibitisha kama dunia inazunguka,....sasa wewe huo uthibitisho utautolea wapi ikiwa hata hao unaowaaamini pia hawana uthibitisho?

Think critically.
 
Wewe unahitaji ushahidi wa namna gani ?
Namaanisha kama ni kuzunguka kwa Dunia unataka ushahidi uwe kwa mtindo upi ?
 
No., Tatizo sio akili yangu.

Tatizo huna uthibitisho.

Kwa mfano hakuna Mtu wala taasisi yoyote Ile iliyowahi kuthibitisha kama dunia inazunguka,....sasa wewe huo uthibitisho utautolea wapi ikiwa hata hao unaowaaamini pia hawana uthibitisho?

Think critically.
Kwahiyo unakubali dunia ni tufe 🌎 Ili sasa upewe ushahidi linavyozunguka?

Kwasababu huwezi kwenda hatua ya pili kabla ya kumaliza ya kwanza

Hapa tunajadili umbo la dunia
 
Katika mengi uliyonijibu niishie kukibali hatukubaliani.. na katika hili nikuache na swali..
Elimu uliyonayo juu ya umbo la dunia, ilianza kuipata kwa kuhoji au bila hiyari yako ulijikuta unafundishwa kilazoma?

Vopi kwa hii ya flatealth unalazimisha nikifundishe kwa kinohoji?
We vipi? Nimekwambia nipe elimu unasema hatukubaliani ndo nini sasa? Huwezi kuelezea? Au hujui unachoongea? Sasa kwann ulijinadi unaelimu?

Halafu unasema uniache na swali la nn mm ikiwa wewe hujibu maswali, huleti hiyo elimu yako unayosema unayo, unamatatizo sana wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom