anthony_art
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,031
- 370
Jinga sana hiliAiseeee
Jinga sana hiliAiseeee
Basi huna akiliKuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka or not,...Mimi natumia akili yangu Tu,
So sizingatii sana kama NASA wanadanganya/not.
Eti hayajapatiwa majibu, majibu yapo umepewa jibu lako ni UONGO.Kama Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼 🌍 kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa yana appear flat and level,......?
Na hiyo haitoshi,.....ni kipi kinachoshikilia maji yasimwagike away from Dunia Tufe ikiwa Dunia yenye umbo la namna hiyo inazunguka Kwa Kasi mno.
Je, kuna uthibitisho wowote unaoonyesha namna maji yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe linalozunguka,... apart from nadharia?
Nadhani hayo ni baadhi ya maswali machache fikirishi,.... ambayo mpaka sasa hayajapatiwa majibu ya kueleweka.
Wewe ni mjinga mbishi, wewe kusema sijathibitisha haimaniishi sijathibitisha.Ushashiba biryani unaanza fujo kaka,...🙌🏼
Bado hujathibitisha kama Dunia ni Tufe linalozunguka....
Kuhusu Gravity,. Einstein alishahitimisha decades ago.
Chai.Wewe ni mjinga mbishi, wewe kusema sijathibitisha haimaniishi sijathibitisha.
Nilikuuliza basi Einstein alisema nn kuhusu gravity na kuhusu vitu kufall na celestial body kurevolve each other? Lkn hujanijibu unamkimbilia Einstein wakati hujui kuwa Einstein anamchango mkubwa kwenye proof ya Dunia kuwa Duara na kuzunguka Jua.
Ndio kitu unachoweza pekee😀, huna hoja yoyote Ile.Chai.
Nikitulia nitatoa hoja na elimu ya kutosha humu...Ndio kitu unachoweza pekee😀, huna hoja yoyote Ile.
Naomba majibu mkuu..Kama Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼 🌍 kwanini large water bodies kama vile bahari na maziwa yana appear flat and level,......?
Na hiyo haitoshi,.....ni kipi kinachoshikilia maji yasimwagike away from Dunia Tufe ikiwa Dunia yenye umbo la namna hiyo inazunguka Kwa Kasi mno.
Je, kuna uthibitisho wowote unaoonyesha namna maji yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe linalozunguka,... apart from nadharia?
Nadhani hayo ni baadhi ya maswali machache fikirishi,.... ambayo mpaka sasa hayajapatiwa majibu ya kueleweka.
Mara ngapi unasema hivi??😀😀. We Kila siku nikitulia nikitulia nikitulia nikitulia......... Then unakimbia hoja unarudi na ujinga wako.Nikitulia nitatoa hoja na elimu ya kutosha humu...
Andaa Notebook na Kalamu.
Mkuu, mbona hata vitu rahisi kuvielewa ni ngumu kwako?Mwanzo ulisema unaweza kuona mpaka space station iliyopo km 400 kutokea Duniani.....
Au sio wewe uliyedai hivyo?
NB:- Macho yana limitation ya kuona, limitation ambayo inatokana na factors mbalimbali ikiwemo distance, obstacles na kadhalika.
Lete ushahidi wa kipimo ulichotumia kujua kama Dunia inazunguka,...au ikiwa ngumu lete video inayoonyesha Dunia inazunguka Kwa 1670 kilometres per hour.Wewe unahitaji ushahidi wa namna gani ?
Namaanisha kama ni kuzunguka kwa Dunia unataka ushahidi uwe kwa mtindo upi ?
Wapi nimesema nakubali Dunia ni Tufe?Kwahiyo unakubali dunia ni tufe 🌎 Ili sasa upewe ushahidi linavyozunguka?
Kwasababu huwezi kwenda hatua ya pili kabla ya kumaliza ya kwanza
Hapa tunajadili umbo la dunia
Huoni Kama wewe ndiyo unashindwa kuelewa vitu rahisi mno?Mkuu, mbona hata vitu rahisi kuvielewa ni ngumu kwako?
Ngoja twende kama darasa la kwanza:
KM 60 ni ndogo kuliko km 400.
Kama unaweza kuona kitu kilicho km 400, basi kilichopo km 60 unatakiwa pia uweze kukiona maana hapa ni dhairi macho yako hayajafikia limit yake.
Sasa wewe unaiona international space station iliyopo km 400 angani alafu taa za Zanzibar zilizopo km 60 kutokea pwani ya dar huzioni alafu unafikiri umefika limit ya uwezo wako wa kuona???
Huyo mjinga mwenzako maana hicho alichokisema nilikitolea ufafanuzi humu.....Air resistance immediately acts against a force previously used to push the object in a particular direction,.... sasa air resistance ikishafanya object ianze kurudi chini unataka tena air resistance iact against which force? Wakati object husika ishakua forceless!!!!?!!Asante sana, maana huyu hateeb10 ni mjinga sana
Obstacle unayoizungumzia ndo dunia yenyewe.Huoni Kama wewe ndiyo unashindwa kuelewa vitu rahisi mno?
Apart from distance,.vipo vitu vingine vingi tu vinavyoweza kukuzuia usione hata object iliyopo km 20 Tu...... So kimsingi huwezi kuona Zanzibar kutokana na obstacles mbalimbali na sio kwamba Zanzibar ipo below the imaginary curve kama ulivyoaminishwa..... Au huoni hata Meli ikisafiri kwenda Zanzibar inasafiri horizontally without any bending mpaka pwani ya Zanzibar?
NB:- Kimsingi hata kama hiyo curvature ingekuepo distance Kati ya Zanzibar na Tanzania ni fupi Sana there's no way useme Zanzibar haionekani due to curvature,...itakua unajidanganya.
Additionally,..The water of the Indian Ocean plays a role in obstructing the view of lights and buildings from Zanzibar's localities when you're on the coast of Tanzania. The surface of the ocean, especially if it's calm, can act like a mirror, reflecting light away from your line of sight. Additionally, the moisture in the air near the coast can contribute to haze or fog, further reducing visibility. These factors, combined with the distance and other conditions, can make it challenging to see lights from a distant shoreline.
Radius 'r' = 6,371 km
Height of obstacle 'b' = r-a
'a' unaweza kuipata kutokea kwenye trig
Angle unaweza kuipata kutokea kwenye uhusiano wa distance ya arc p1,p2 (60KM) na circumference ya dunia.
Circumference ya dunia unaweza kuipata kutokea kwenye radius (C=2⫪r)
Toka awali sikutaka kwenda in details sababu Naamini unajua dunia ni tufe ila una challenge kwasababu umependa tu idea ya watu wana AMINI dunia ni disc inayoeleaWapi nimesema nakubali Dunia ni Tufe?
Nimekuelezea mfano wa scenario ya Dunia kuzunguka kwa kuwa mfano huo wa Dunia Kuzunguka hata kilaza ataelewa......
Kimsingi ni kwamba Dunia sio tufe na ipo stationary kama unavyoiona ipo hivyo hivyo!
Huyo mjinga mwenzako maana hicho alichokisema nilikitolea ufafanuzi humu.....Air resistance immediately acts against a force previously used to push the object in a particular direction,.... sasa air resistance ikishafanya object ianze kurudi chini unataka tena air resistance iact against which force? Wakati object husika ishakua forceless!!!!?!!
Tumieni akili wakuu 🙌🏼
Wewe ni mjinga, haya tuambie parachute linafanyaje kazi kama kweli hakuna air resistance object ikiwa inarudi chini.😀 Nini kinafanya parachuti irudi chini taratiiibu badala ya kuporomoka kama jiwe🤣🤣 nakusubiri sheheHuyo mjinga mwenzako maana hicho alichokisema nilikitolea ufafanuzi humu.....Air resistance immediately acts against a force previously used to push the object in a particular direction,.... sasa air resistance ikishafanya object ianze kurudi chini unataka tena air resistance iact against which force? Wakati object husika ishakua forceless!!!!?!!
Tumieni akili wakuu 🙌🏼
Unaweza ku upload pdf yake.Natamani sana kuandika kuhusu hii thread lakini sitoweza. Kuna siri kubwa sana kuhusu ukweli wa hii dunia na siri yote ipo kwenye logo ya UN. Kwa mtu ambaye anataka kujua ukweli wa hii dunia tafuta kitabu cha “Eric Dubay” kwa kupata elimu mpya.
Hivi unaelewa kweli? Kama kuna sehemu nimesema air resistance haifanyi kazi object ikiwa unarudi chini,.... nionyeshe.Wewe ni mjinga, haya tuambie parachute linafanyaje kazi kama kweli hakuna air resistance object ikiwa inarudi chini.😀 Nini kinafanya parachuti irudi chini taratiiibu badala ya kuporomoka kama jiwe🤣🤣 nakusubiri shehe