hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 1,949
- 852
So,.. unataka kusema hizo water bodies zina appear Kwa shape gani?, Je, hazipo level?Yangekuwa yanaappear flat ungeona mpaka mwisho wa dunia kama vile unavyoweza kuona nyota na vitu vilivyopo kwenye anga la mbali
Mwisho wa Dunia ni wapi?
The same way huwezi kuona mwisho wa anga la Dunia au universe Kwa ujumla wake,.. ndiyo hivyo hata mwisho wa Dunia huwezi kuuona pia.