Na mimi nilikuwa nikijiuliza hilo swali.Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
wanalipwa hela na ulayaPoleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
kuna kias cha pesa washapewa cha kujenga makaziInamaana watapewa ruzuku kuwatunza hao wakimbizi?
Hapo hata Mimi najiuliza sana.Au mtu katoka Afrika kusini Kisha apelekwe Rwanda.🤣🤣🤣🤣Halafu mmi naona kama dharau flani hivi kwa Rwanda na kwa hao migrant hebu imagine umekimbia Luanda Angola halafu unapelekwa kigali Rwanda ukawe mkimbizi uko
Ni ujinga tu.Na itakuwa imeunga mkono ubaguzi wa wazungu.Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha