Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

Paul Kagame anafanya hivyo kwa maslahi ya mabeberu wa magharibi, ili na wao waendelee kulinda maslahi ya Rwanda katika Kongo mashariki. Ndio maana huwezi kusikia PK akiitwa dikteta na vyombo vya habari vya magharibi kwa sababu ni mtu wao ana faida na wao.
 
Very right. Lakini kubali huyo mtu ni smart sana.

Angalia jinsi alivyoiinua na kuitumia genocide ya 1994 kuwaaminisha wakubwa kuwa ni yeye tu hadi sasa anayeweza kuleta amani, utulivu na maendeleo Rwanda. Kwamba kuna wakati analazimika kutumia mkono wa chuma kuhakikisha “genocidaires” hawapati nafasi kabisa ndani na nje ya Rwanda.

Uzuri tayari wengi wameshamstukia janja zake.
hajaaminisha mkubwa yeyote uovu wake wote uko wazi ni vile tu yeye ni kibaraka wao kusababisha kongo isitawalike ila once they done with kongo watamtelekeza agawanwe na interahamwe hatoamin
 
Paul Kagame anafanya hivyo kwa maslahi ya mabeberu wa magharibi, ili na wao waendelee kulinda maslahi ya Rwanda katika Kongo mashariki. Ndio maana huwezi kusikia PK akiitwa dikteta na vyombo vya habari vya magharibi kwa sababu ni mtu wao ana faida na wao.
Kuna siku watamgeuka tuuu🤣🤣🤣🪑💺🎶📌
 
Kagame Poleni Kwa majukumu wadau

Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?

Nawasilisha
Hizi ni cheap propaganda za Kagame...is trying to make himself neat to the world!

Hakuna asiejua udikteta wake hapo rwanda,...

Na hawa wahamiaji walikuwa wakitafuta makazi ulaya...

Kwa wahamiaji wanaojielewa... hii ni Red light/Alert!.... Kwamba wasijaribu tena kuingia ulaya...

Maana adhabu yake ni kama hii ya kurudishwa Kuzimu ya Africa!

Hawa Kuna uwezekano wakaenda kuingizwa m23 kisiri watake ama wasitake!
 
Naumia sana nikiona waafrika hasa afrika mashariki hatujui mipango na mibaya ya wazungu.
Hapo tunatengenezewa tatizo kubwa la baadae kama walivyotengenezewa wapalestina mwaka wa 1948.
Yani kwa baadae tutawekwa kati kama Israe/Base ya wazungu pale mashariki ya kati kudhibiti uchumi na nguvu za kijeshi eneo hili.

Wazungu sio wajinga japo nyakati hizi wanajifanya wajinga ili wapate wanachokitaka... Kagame ni kibaraka tu ili kutimiza ndoto za maadui zetu

Tusipotambua leo watatambua watoto wetu wakiwa wamechelewa 😣

Moyo wa afrika upo afrika mashariki kwenye nchi za maziwa makuu!
Mwenye nguvu akilitawala hili eneo inakuwa ni rahisi kutawala afrika nzima
 
Serikali ifunge kambi za wakimbizi zilizohifadhi wanyarwanda warudishwe kwao mara moja. Hakuna sababu ya kuendelea kuwapa hifadhi wakati nchi yao inaweza kuwahifadhi.
📌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑💺💺🎶🎶📌📌
 
Serikali ifunge kambi za wakimbizi zilizohifadhi wanyarwanda warudishwe kwao mara moja. Hakuna sababu ya kuendelea kuwapa hifadhi wakati nchi yao inaweza kuwahifadhi.
Ndio!

Umelenga kwenye point

Kama nchi ina amani na inaweza kupokea wakimbizi wa ulaya, basi ni vyema ipokee wakimbizi ambao ni raia wake kabla ya kupotea wakimbizi wa ulaya.... Sauti ya Uma
 
Poleni Kwa majukumu wadau

Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?

Nawasilisha
Moja: Mshiko kwani atapata karibia £20,000 kwa kila mkimbizi atakayepelekwa Rwanda na hadi sasa wapokea £270m na wanatarajia kupokea tena karibu £120m;
Pili: Ni sehemu ya kujitangaza na kuongeza umaarufu kwani kwa sasa nafikiri Rwanda ndo nchi maarufu zaidi UK kwa nchi za africa; na
Tatu: Kuonyesha (kuonesha) dunia kwamba ni moja ya sehemu salama zaidi ya kuishi kwa afrika kitu ambacho kilitiliwa sana wasiwasi.
NB: Rwanda itakuwa makao ya muda wakati wanashughulikiwa maombi yao kuhamia UK baada ya hapo watakaofanikiwa kupata fursa ya kuingia UK wataruhusiwa na watakaokosa nafasi watarudishwa kwao.
 
Kwa hiyo kama nchi za Ulaya zimewakataa na hawataki kurudi nchini mwao , Rwanda kuwapokea inakosa gani? Kwanini nchi nyingi zinazolauma UK zisichukue hao wakimbizi ?
 
Ni mchanganyiko Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa.yaani mkimbizi yeyote atakaye ingia ulaya hola kibali atapelekwa Rwanda (Kigali)
ukute waarabu ni wengi hilo itakuwa ni bomu litakalolipuka siku za mbeleni wakati hata huyo kagame atakuwa hayupo dunia hii. Itakuwa kama mali sudan na chad hakuna utulivu. Wale hawataacha asili ya vurugu zao watajiona ni nchi yao na wana haki nayo. Sidhani kama kuna wazungu watakaoletwa rwanda labda iwe ni kwa mkakati fulani hivi wa siri za dunia
 
Back
Top Bottom