Wakimbizi wa Burundi na Rwanda wanawekwa kwene makambi. Waarabu wa Sudani wanazurula nchi nzima

Staphylococcus Aureus

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,624
2,491
Kuna idadi kubwa sana ya wakimbizi waliokimbia wakiarabu kutoka Sudan wakiwa mitaani wengine wamepanga.Lakini upande wa pili kuna wakimbizi majirani wamejazwa kwene makambi kigoma huko ka kagera.

Je, hii ni kudhibitisha kua waafrica tunajichukia na tunawapenda maadui zetu!!

Nawasilisha!
“African will always hate each other and love so much their masters”
 
Sudan sio waafrika?...
Nawajua wakimbizi Wengi WA Burundi na Rwanda walionunua Hadi nyumba Dar......

Hakuna anaelazimishwa kukaa kambini....unataka wazurure Wana hela? Wasomali na wasudan wanakuja na hela wanaenda kuishi Upanga...hao warundi hata Mbagala wanaweza panga?
 
Jamaa swali lake linamantiki sana ila hao jamaa ase wababe sana...alafu wengi wao ni waasi huko kwao tukiwaweka mtaani tegemea sana matukio ya Ujambazi kama wanaoufanya huko Maporini ukipitia Kibondo au Tabora.
 
Jamaa swali lake linamantiki sana ila hao jamaa ase wababe sana...alafu wengi wao ni waasi huko kwao tukiwaweka mtaani tegemea sana matukio ya Ujambazi kama wanaoufanya huko Maporini ukipitia Kibondo au Tabora.
Bora umenisaidia
 
Wasudan Ni waislamu infakt Kuna wengine tumawasomesha udaktari pale Mloganzila. Sasa mrundi hata kuchamba hajui utamleta hata kigogo CCM si ataendeleza ujambazi na unyanganyi. Halafu warundi sio wastaarabu. Acha wakae huko Tabora waendelee kuumwa na mbu.
 
Back
Top Bottom