Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

wakimchoka watamtelekeza kama puffy daddy shetani hana rafiki
PK anafanya madhambi yote kama ya Putin, Makonda, Maduro etc. Lakini haguswi na vikwazo, kunyimwa misaada, tishio la ICC wala kupigwa PI na nchi za Magharibi. Ana hadhi maalum Ikulu ya US na kote Ulaya. Hata Ufaransa waliojaribu kumtikisa wanamgwaya.

Anajua “kula na wakubwa”. Wakiwa na shida hasa za kupindisha sera hata sheria zao wenyewe anajitokeza kuwasaidia.
 
Poleni Kwa majukumu wadau

Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
labda wataleta maendeleo rwanda iwe kama ulaya. Hao wakimbizi wakifika rwanda watulie hukohuko, wasianze kutamani rasimali za mataifa jirani na kuanzisha ushenzi wa kutaka kuzipata isivyo halali
 
labda wataleta maendeleo rwanda iwe kama ulaya. Hao wakimbizi wakifika rwanda watulie hukohuko, wasianze kutamani rasimali za mataifa jirani na kuanzisha ushenzi wa kutaka kuzipata isivyo halali
Mkuu unahofu na hao wakimbizi wa Rwanda kuvamia nchi jirani?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Faida Ni Nyingi Sana Hasa Wanaelekea Miaka Kadhaa Mbele

Rwanda Itatazamwa Na Hayo Mataifa Walikotoka Hao Pia Baadaye Kuna Mchanganyiko Unataka Utengenezwe
 
Rwanda nitaifa dogo sana, nazani faida ya kutaka hao wakimbizi ni kuimarisha jeshi ambalo litapatikana kutoka kizazi Cha hao wakimbizi ambao watakuwa ni wanyarwanda wa kuzaliwa hakuna kingine baadae wataamua kuexpand nchi Yao kwenda congo kimabavu Kupitia vikundi ya waasi
 
nadhani faida yake ni kwamba, atakuwa allies mkubwa wa magharibi eneo hilo hasa wamagaribi wanaotaka kuchuma congo, atasaidia kwenye silaha na technolojia jeshini, na labda cash money kidogo tu. otherwise, kuna asilimia kubwa sana wakimbizi watakaopelekwa rwanda wasiishi hata mwaka mmoja, watakimbia nchi na kukimbilia kwengine, kwasababu huwezi kumchukua mkimbizi wa Syria kwa mfano, nchi iliyokuwa uchumi wa kati, very advanced, akaishi eneo masikini na lisilo na opportunities kama rwanda. au mkimbizi hata wa afghanistan, nchi yeyote ya kiarabu au afrika magharibi useme akaishi rwanda, anaona kama unamtukana. ni sawa na wewe sasaivi waseme ukaishi bush kule. upigwe na vumbi. wengi wamepambana sana hadi mahakamani ili wasipelekwe rwanda, jinsi ngozi nyeupe inavyomwona mtu mweusi au inavyodharau africa halafu wewe useme tunakupeleka africa. just imagine.
 
wakimchoka watamtelekeza kama puffy daddy shetani hana rafiki
Very right. Lakini kubali huyo mtu ni smart sana.

Angalia jinsi alivyoiinua na kuitumia genocide ya 1994 kuwaaminisha wakubwa kuwa ni yeye tu hadi sasa anayeweza kuleta amani, utulivu na maendeleo Rwanda. Kwamba kuna wakati analazimika kutumia mkono wa chuma kuhakikisha “genocidaires” hawapati nafasi kabisa ndani na nje ya Rwanda.

Uzuri tayari wengi wameshamstukia janja zake.
 
Back
Top Bottom