Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

Pole kwa changamoto ndugu yangu... Kingine nikushauri hiyo ID yako ya jina fanya ubadilishe kwako unaweza sema haina maana ila kwetu inamaana kubwa tunakutafisri kulingana na ID ya jina lako
 
Ila samahani kidogo hii ishu imekuwa serious sana .Nyuzi kibao zimerindima kuhusu huu ulemavu wa kupoteza kusikia sijui tatizo ni nn!?
Wengi hawakuzaliwa na tatizo hilo , changamoto mbalimbali wanapata katika kuendea fursa mbalimbali .

Cc Mheshimiwa Dkt. Gwajima D
Sijajua kwingine Ila Kwa Baadhi ya maeneo niliyofika dar naona inaongoza Kwa changamoto Hii hasa Kwa vijana hasa hawa wanao bet.
 
Unaweza kunibadilishia cover mpya kwa hizi sofa na utanifanyia bei gani? Cherehani ipo nyumbani so unakuja kufanyia kwangu na itachukua mda gan? Ni imported so nataka kazi nzur kitambaa nnacho mwenyewe
Mkuu, mbona TV ipo nyuma ya sofa una Nia gani na wageni wako?

Just asking tu 😅
 
Pole sana mdogo wangu , uko mkoa gani ? Je mtu akihitaji kuwekeza kwako inahitaji kiasi gani ili biashara iende ? Je ulipo unaweza kuhamia sehemu nyingine ? Ni hayo rafiki .

Ila hilo jina ungebadili maana wengi tutakutafsiri vibaya kuwa wewe ni mtu wa mshedede hivyo hata kazi utaleta mambo ya ushedede .

Mfano mimi hili jina langu kuna kiumbe alidhani mimi ni pastor masikini hata asipitie komenti zangu na nyuzi ili ajue ni kiasi gani sifai katika jamii , eti ananiomba ushauri wa mambo ya kiroho mlevi mimi mwisho tuliishia kwenye kuta nne bila kuelewa ilikuaje yaani.
 
Pole kwa changamoto ndugu yangu... Kingine nikushauri hiyo ID yako ya jina fanya ubadilishe kwako unaweza sema haina maana ila kwetu inamaana kubwa tunakutafisri kulingana na ID ya jina lako
Shukran mkuu nimeshaomba kubadilisha
 
Pole sana mdogo wangu , uko mkoa gani ? Je mtu akihitaji kuwekeza kwako inahitaji kiasi gani ili biashara iende ? Je ulipo unaweza kuhamia sehemu nyingine ? Ni hayo rafiki .

Ila hilo jina ungebadili maana wengi tutakutafsiri vibaya kuwa wewe ni mtu wa mshedede hivyo hata kazi utaleta mambo ya ushedede .

Mfano mimi hili jina langu kuna kiumbe alidhani mimi ni pastor masikini hata asipitie komenti zangu na nyuzi ili ajue ni kiasi gani sifai katika jamii , eti ananiomba ushauri wa mambo ya kiroho mlevi mimi mwisho tuliishia kwenye kuta nne bila kuelewa ilikuaje yaani.
Asante nishapoa mkuu, kwa sasa nipo ila kama kuna fursa sehemu yeyote nafika. Kuhusu gharama ni mpaka tukae tujue tunataka kuanza vipi na inategemea na eneo husika.

Kuhusu jina nimeshaomba kubadilisha naona moderator wanalifanyia kazi
 
I feel you brother pole sana. Daaah. Naelewa ushajaribu mengi kuwa sawa. Sema kipande cha kazi. Nikuombe pambana online. Tena ukiweza una simu nzuri fungua insta account tangaza biashara yako. Jiamini tena waambie watu wewe mtu wa aiina gani, tunahuruma sana watanzania.tutakusaidia
Asante nitafanyia kazi ushauri wako
 
Mkuu, mbona TV ipo nyuma ya sofa una Nia gani na wageni wako?

Just asking tu 😅
Mkuu samahani, napenda sana kujifunza kupitia maandishi yako.
Sasa kuna uzi wako ulifungua juzi hapa nautafuta tena siuoni niliishia portion ya tatu hivi, imekuaje?
 
Back
Top Bottom