Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

draxler_

Member
Jan 20, 2017
12
5
Habari,

Nina Diploma ya Civil Engineering natafuta kazi nipo Dar es salaam, naitaji kazi za site ili niweze kuwa vizuri zaidi

Pia ni mtaalamu wa Autocad na Archicad pia vingi nimeandika kwenye CV yangu. Msaada mwenye connection yoyote anisaidie ili nami nipate ujuzi zaidi wa kazi
 
1. Check Yarp Merkz mradi makutopora to Tabora SGR.
2. China Civil Engineering Construction Corporation Mradi wa SGR Mwanza to Isaka.
3. Kuna Mradi wa Barabara ya Tanga via Pangani- Makurunge.

Huko unaweza kujaribu Bahati yako ya kazi...Ila jitahidi ujuane na watu waliokutangulia kwenye field utapata kazi.
 
sawa sawa
 
Nina diploma ya marketing wenye connections za kazi
FB_IMG_16534541516907121.jpg
 
We are on the same field,but nna degree,
Muhimu tembea na bahasha(CV's) peleka ktk makampun ya ujenzi ya hapo Dar,anzia njia ya coca cola pale mwenge,tembelea site mbalimbal uoneshe nia ya kazi,then website za ajira,utafanikiwa tu,nakuombea hilo
Mambo sio rahisi hvyo mkuu.
 
Mambo sio rahisi hvyo mkuu.
Kwa hyo n bora akae tu na asubirie watu wa JF wampe connection ya kazi,ndgu iko hv binafc nmehangaika the same route mwaka mzima ndo nikapata kaz ya site from there nikaanza kutafuta kaz ya kudumu na tija,but mwanzon hatuangalii hata km mshahara mdgo tunapambana,sasa unaposema sio rahisi hvyo bac mshauri uonavyo wew
 
Ni kwamba anaingia Google anaandika kampuni za civil zinakuja anachukua namba au email anaomba
 
Anaingia ktk browser anatafuta site za ajira hapa Tanzania,ambazo zinatangaza ajira mbali mbali,ktk makampun n bora apeleke CV mkononi yaan aende ktk ofisi za kampun hata km hawajatangaza uhitaji wa kuajiri huwez jua bahati ya mtu,na apitie ktk site
 
Kwa hyo n bora akae tu na asubirie watu wa JF wampe connection ya kazi,ndgu iko hv binafc nmehangaika the same route mwaka mzima ndo nikapata kaz ya site from there nikaanza kutafuta kaz ya kudumu na tija,but mwanzon hatuangalii hata km mshahara mdgo tunapambana,sasa unaposema sio rahisi hvyo bac mshauri uonavyo wew
Umeongea ukweli kabisa... Tatizo letu hatupendi kuambiwa ukweli...Mimi sio engineer najua miradi IPO mingi Sana tembea kijana kazi kwenye private sector hawatangazi.
 
Kwa hyo n bora akae tu na asubirie watu wa JF wampe connection ya kazi,ndgu iko hv binafc nmehangaika the same route mwaka mzima ndo nikapata kaz ya site from there nikaanza kutafuta kaz ya kudumu na tija,but mwanzon hatuangalii hata km mshahara mdgo tunapambana,sasa unaposema sio rahisi hvyo bac mshauri uonavyo wew
Nashukuru kwa ushauri wako ila kuuliza humu JF nayo ni kufight pia coz huwezi jua anayesoma ujumbe ni mtu wa aina gani, isitoshe ni wote tunafight sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom