Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

By Chumvi YMawe
Hapa wengi tunakosea, kufikiri zaidi watoto kuliko sisi.
Usisahau hata wewe ni mtoto wa wenyewe,

Ebu pambana kustawisha maisha yako, pambana kumuandalia maisha ya mtoto ya kesho.
Nenda kanunue mashamba, viwanja huko na kule kwa ajili ya mtoto.
Endeleza baishara zako, geuza uchungu kama chachu ya kupiga hatua.
Na siku moja mtoto atakuwa chini ya himaya yako.

Usisahau:kataa ndoa!
 
Back
Top Bottom