Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
2,185
4,889
Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote.

Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga chini, sasa amerudi na ana mtoto anadai ananipenda!

Naomba ushauri wakuu.
 
Imagination zako tu hizi.
 
Mwambie akale alikopeleka mboga.
Huyo hajakupenda bali njaa na kuishiwa soko ndio sababu ya kutaka muwe wote.
Upendo hauko hivyo, ukiishi na mtu asiyekupenda mwisho ni kilio
 
Mkuu unawafahamu hawa watu? Kipchoge, Simbu, Kiptum(RIP)

Kama unawafahamu basi katika hili fanya kazi ya hao jamaa. Kama huwafahamu basi fanya kile alichokifanya Hamorapa siku Nape anatolewa bastola na yule jamaa wa usalama
😂😂 rest in peace  kiptum

nilikuwa namkubali sana ila nashanga hata alivyoondoka ondoka kwenye maisha yangu
 
Back
Top Bottom