Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

Uyo achana nae mkuu mbona watoto wa kiislam mashaalah wapo wengi tu kina zukaila . Na saiv wanamaliza id wew tu mkuu
 
Yaan upo tayari ukalee shahawa za mwanaume mwenzako uku yy akijivinjari na vibinti uko,ww uwe unateseka uwaze mtt wake ale nn .
Kumanishaa nn🛏️
 
Hili suala tunalirudia kila mara lakini naona hamsikii.

Kiufupi mwanaume kuoa single maza hakikisha umeshuhudia cheti cha kifo na kaburi la mume mwenza.

Ukiamua kuingia mzima mzima kisa wewe ndio mjuzi wa kupenda shauri yako, jiandae kisaikolojia, muda wowote kitanuka.
 
Hahaha dah mkuu kwaiyo mtoto wa uyo mwanamke anaemsema ni shahawa?
Ss c shahawa hzo mkuu zilitungaa mimba ya huyo mtt jamaako anataka akaleee ..Kuna wanaumee wenzetu muda mwingine wanazingua Sanaa ,ss utaleaje mtt ambaye babaake yupo hai hyo Hela c Bora ukule tu mkuu
 
Hili suala tunalirudia kila mara lakini naona hamsikii.

Kiufupi mwanaume kuoa single maza hakikisha umeshuhudia cheti cha kifo na kaburi la mume mwenza.

Ukiamua kuingia mzima mzima kisa wewe ndio mjuzi wa kupenda shauri yako, jiandae kisaikolojia, muda wowote kitanuka.
View attachment 2960693
Hawezi kukuelewaa mkuu acha akakutane na za kichwaaa akili imkae sawaa
 
Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote.

Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga chini, sasa amerudi na ana mtoto anadai ananipenda!

Naomba ushauri wakuu.
If you don't love me now don't love me later when my later is much better.... kimbia
 
Ss c shahawa hzo mkuu zilitungaa mimba ya huyo mtt jamaako anataka akaleee ..Kuna wanaumee wenzetu muda mwingine wanazingua Sanaa ,ss utaleaje mtt ambaye babaake yupo hai hyo Hela c Bora ukule tu mkuu
wanawake wanatamaa mnoo Mkuu
 
●Kuoa single maza ni kujipotezea heshima. Familia, watu wa ukoo, marafiki lazima wamshushe thamani. Jamii pia lazima imuone fara mabinti kibao hawajazaa wanasubiri waume wa kuwaoa yeye anataka afanye maisha na malaya aliyezalishwa

●Anajishusha thamani sana. Malaya alimkataa wakati anajitafuta halafu malaya kawa broke na damaged na umri umeenda ndio afanye naye maisha. Hii ni dharau kubwa sana

●Kujipa majukumu yasiyo yake. Anaanza maisha ya ndoa kwa kulea bao la mwanaume mwenzake badala ya kumlea mtoto wake, ni upumbavu wa hali ya juu

Mungu mwenyewe alishasema mwanaume aanzishe familia yake yeye anapingana naye anaenda kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzake

He'll learn the hard way
Aache ujinga
 
Ss c shahawa hzo mkuu zilitungaa mimba ya huyo mtt jamaako anataka akaleee ..Kuna wanaumee wenzetu muda mwingine wanazingua Sanaa ,ss utaleaje mtt ambaye babaake yupo hai hyo Hela c Bora ukule tu mkuu
Sasa unakuta kamuelew binti mkuu kias hana namna japo baadae lazima ajutie sana
 
Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote.

Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga chini, sasa amerudi na ana mtoto anadai ananipenda!

Naomba ushauri wakuu.
Kama wewe ni kijana haujaoa na haujawahi kuoa, hilo swali haukustahili hata kulileta humu, kwa sababu nyuzi na mifano mingi sana ilikwishakutolewa na members humu kuwa kijana 'fresh' kama wewe haustahili kujibebesha misalaba isiyokuhusu.

Kimapenzi, wanawake huja kuwagawa wanaume magrupu matatu katika uhai wao wa kimapenzi na huwa'rank' kutokana na magrupu hayo.

1: ni mwanaume aliyemtoa bikira yake: huyo ndiyo mwanaume boss kwenu nyote mtakaofuatia, yeye hana maneno ya kutongozea, kama mfano wa nyumba kujenga alishaijenga kuanzia kufyeka uwanja na kujenga msingi, muda wowote akitaka anaingia ama kutoka, hahojiwi na mtu, ni yake.

2: ni mwanaume aliyezaa naye mtoto ama watoto:
Huyu ni mwanaume ambaye hukimbiwa akikosa kauli thabiti mdomoni mwake pamoja na matunzo kwa ajili ya ulofa.

Lakini pamoja na kukimbiwa na mwanamke huyo akapata neno la kubembeleza, nikuhakikishie siku yoyote atapashiwa kiporo na kula hata kama wewe umemuoa kwa gharama gani ya mahari, utake usitake.

Visingizio vya kuona watoto kipumbaf pumbaf ama mbinu nyinginezo hutumika kama passport ya kufanyia unyambilisi huo.

3: mlishi: huyo sasa ni wewe: mwanaume mwenye heshima zake aliyekubali kuyabeba majukumu ya kumuoa mwanamke huyo na kumtunza na kumheshimisha katika jamii.

Umempenda na kasoro zake, aidha za kuzaa akiwa kwao ama unawafahamu dhahiri ma hawara zake, lakini kwa upendo wa dhati, umeamua kuipindua meza, leo kawa mkeo.

Wewe hautazingatiwa kimapenzi kama hao ma senior zako #1 pamoja na #2, maana wakimtaka akiwa katika himaya yako, watampata tu kwa sababu nao ni mke wao pia.

Kijana mifano ni mingi ya kukutolea kama darasa, lakini itoshe kusema tu kuwa mapenzi hayana darasa kwa sababu yanahusisha moyo na siyo akili.

Moyo ukishapenda, akili hujikuta imeshindwa nguvu zake za kupinga.

Sisi wazee tunapinga kwa nguvu zetu zote kabisa kuruhusu vijana kuzianza ndoa zao mpya kwa najukumu yasiyowahusu.

Hivyo tunashauri: tafuteni wasichana wa rika zenu wenye maadili mema katika jamii zenu muoe, kuanza maisha na msichana wa rika lako asiye na mawaa huwa ni faraja kubwa sana kuliko kuanza maisha na mwanamke aliyekuzidi sana mitazamo hasa ya kimapenzi.

'Maadili mema' tunayoyaongelea ni pamoja na kuangalia dosari nilizozitaja hapo juu pamoja na mambo mengineyo mengi yanayohusu nasaba yake pamoja na makuzi na malezi.
 
Back
Top Bottom