Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

Chumvi YMawe

Member
Feb 23, 2024
13
41
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
 
images - 2024-02-24T100747.333.jpeg
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini!

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani!

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina!

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa!

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake!

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo!

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa!

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke!

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale!

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto!

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu!

By Chumvi YMawe
Kama ni mwanaume utakuwa na maamuzi ya kiume

Kama wewe ni WA KIUME subiri ushauri humu
 
Haya mambo ya "watoto wataishije" ndio yanayoumiza wengi.

Kamtolee mahali nono kule walipokukataa kiaina, ukawapigie na magoti kuomba Mke mwema Sana, halafu funga nae bonge moja la harusi, itangazie dunia na mahakama kuwa huyo ndio mke umpendae saana, halafu mfungulie Biashara kuuubwa.

Halafu miaka kadhaa ukiyumba tena, mkeo kipenzi atakusapoti baba watoto wake kwenye shida mpaka utakapokaa sawa tena.

Kila la kheri Kiongozi.
 
Kwa hiyo hapa napo ni pakuomba ushauri, we MPUMBAVU nini, jitu lishakufanyia fyongo bado unajiuliza umrudie ama lah, mkuu una moyo ama akili za kike, mwanaume hujiulizi, hapo ni kumfungia vioo tena TINTED kabisa
Bora uje uumizwe na mtu mwingine kuliko kulizwa na jitu lishakuliza mwanzoni.

Kuwa MWANAUME... Elewa hapo, narudia KUWA MWANAUME na sio wa kiume.
Imeisha hiyo, siku nyingine usilete upuuzi kama huu,
Tuna mengi ya kujadili, tanesco wanatukera, bi tozo anapeleka tanzagiza mrama, simba kadroo, yanga wameambiana wapake bleach najiuliza zawadi mauya itakuaje na kipara chake😂😂
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini!

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani!

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina!

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa!

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake!

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo!

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa!

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke!

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale!

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto!

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu!

By Chumvi YMawe
Pesa ndiyo nguvu za Kiume la sivyo jiandae kumwita Ke yeyote Shemeji.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wanaume wa sikuhizi tuna hisia kaili na za kipuuzi juu ya watoto kuliko aile enda labor?
Au unataka kusema ndio bao pekee lilolokuwa limebaki kwenye p****bu?
Toa matunzo kwa mtoto, kaa mbali na huyo mtu asie na subra.
Mtoto atakutafuta tu hata kama ukifa atauliza kaburi liko wapi na atakuja kukuona.
Huu udhaifu ndio unapelekea kuchinjana na kunyongana mwisho wa siku.
 
Back
Top Bottom