Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini!

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani!

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina!

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa!

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake!

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo!

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa!

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke!

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale!

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto!

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu!

By Chumvi YMawe
Usirudiane naye, story yako kwa asilimia 70% inafanana na ya kwangu. Usikubali....
 
Kama umesahau aliyokufanyia na umeanza kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini katoe mahari. Unaejua uchungu wa ulichofanyiwa ni wewe kama umesahau kichwa panzi mchukue.
 
Kwa hiyo hapa napo ni pakuomba ushauri, we MPUMBAVU nini, jitu lishakufanyia fyongo bado unajiuliza umrudie ama lah, mkuu una moyo ama akili za kike, mwanaume hujiulizi, hapo ni kumfungia vioo tena TINTED kabisa
Bora uje uumizwe na mtu mwingine kuliko kulizwa na jitu lishakuliza mwanzoni.

Kuwa MWANAUME... Elewa hapo, narudia KUWA MWANAUME na sio wa kiume.
Imeisha hiyo, siku nyingine usilete upuuzi kama huu,
Tuna mengi ya kujadili, tanesco wanatukera, bi tozo anapeleka tanzagiza mrama, simba kadroo, yanga wameambiana wapake bleach najiuliza zawadi mauya itakuaje na kipara chake😂😂
Nawambiaga humu jamani Wanaume wengi wanazidiwa akili na Wanawake.

Huyu jamaa anataka kurudi😂😂
 
Huyo ni Chaguo lako.

PambanaZaidi/CottonandMore
Acha kumpotosha mwenzio... Kikubwa hapo mtoa mada ushajua tabia yake na ushajua kuwa hana mapenz na ww bali anapenda ulichonacho, kuingia naye kwenye ndoa tegemea kuja kufanyiwa mabaya makubwa zaid ya aliyokufanyia hapo mwanzo...
 
Wanaume ni sikio la kufa kwakweli.Una bahati ushawishi nae na umekuwa tabia zake sizo.Huyo anaangalia ulichonacho.Ila kama unataka kurudi kule alipokudharu we mrudie uzuri jamiiforums ipo kuna siku utaleta mrejesho tena wa kuomba ushauri wa kuondokana na majanga atakayokuletea.
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Acha upuuzi wewe. Unataka kumwachia nani huo mzigo wa Single Maza? Oa huyo manzi ili kuepusha uvunjifu wa amani kwenye jamii. Akiolewa na mtu mwingine bado utaendeleza ungese wa kumtembelea kwa kisingizio cha mtoto. Komaa na huo msalaba wako hadi Golgota.
 
Wanaume ni sikio la kufa kwakweli.Una bahati ushawishi nae na umekuwa tabia zake sizo.Huyo anaangalia ulichonacho.Ila kama unataka kurudi kule alipokudharu we mrudie uzuri jamiiforums ipo kuna siku utaleta mrejesho tena wa kuomba ushauri wa kuondokana na majanga atakayokuletea.
Sasa asipomrudia huoni kuna mtu asiye na hatia atabebeshwa zigo la kuoa Single Maza?
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
As a woman nakushauri that woman is an opportunist hakufai akikutana Na mtu mwenye pesa kuliko wewe atakuacha in short she doesn't love a woman in love doesn't behave in such a way
 
Usijaribu bora maumivu ya kukaa mbali na mtoto kuliko kuishi na mtu ambao umeshathibisha hana mapenzi na ww isipokua anavutiwa na mafanikio yako, je ukijadondoka kibiashara?
 
Back
Top Bottom