Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Piga chini, hiyo ng'ombe. Usithubutu kumrudia....
 
cha kuongezea tambua hadi familia ya huyo ex wako sio watu wema kwako na hawana maadili mazuri. Ukioa utakuwa na wakwe wa ajabu.

Ukimuoa huyo dada unaweza hata kuja kufa mapema kwa stress.
 
Hakupendi.
Anataka security.
Piga chini mtegemee Mungu atakupa wako.
Choose purpose over relationships, tunza mtoto tu bila kuwa na yeye. Be a man.
 
Achana naye.

Usimrudie kwa sababu unamuhurumia mtoto.

Huyo mtoto na mama yake lao ni moja.

Ukipata tena shida mtoto na mama yake wataungana dhidi yako.

Kama mama ana tabia za kindezi wewe hudumia mtoto ila kaa mbali na mama yake.

Najua waliozaa hawaachani, ila kazi kwako, usuke ama unyoe.
 
Mapenzi kiongozi hayaingiliwi,ila ktk mahusiano hasa mwanamke akiwa ktk hali ya mimba na ww ulipata changamoto ya kazi lazima mvurugano utatokea ndio maana dini inasema mwanamke akiwa ktk ujauzito haachwi mpaka azae kwasababu huwa ktk wakat mgumu kimwili na kiakili.
 
Kwa hiyo hapa napo ni pakuomba ushauri, we MPUMBAVU nini, jitu lishakufanyia fyongo bado unajiuliza umrudie ama lah, mkuu una moyo ama akili za kike, mwanaume hujiulizi, hapo ni kumfungia vioo tena TINTED kabisa
Bora uje uumizwe na mtu mwingine kuliko kulizwa na jitu lishakuliza mwanzoni.

Kuwa MWANAUME... Elewa hapo, narudia KUWA MWANAUME na sio wa kiume.
Imeisha hiyo, siku nyingine usilete upuuzi kama huu,
Tuna mengi ya kujadili, tanesco wanatukera, bi tozo anapeleka tanzagiza mrama, simba kadroo, yanga wameambiana wapake bleach najiuliza zawadi mauya itakuaje na kipara chake😂😂
Hahaaaa
 
Mapenzi kiongozi hayaingiliwi,ila ktk mahusiano hasa mwanamke akiwa ktk hali ya mimba na ww ulipata changamoto ya kazi lazima mvurugano utatokea ndio maana dini inasema mwanamke akiwa ktk ujauzito haachwi mpaka azae kwasababu huwa ktk wakat mgumu kimwili na kiakili.
Dini gani inayosema hivyo? Kuna kifungu chochote kutoka kwenye kitabu cha hiyo dini kinachosema hivyo? Unaweza kutuwekea hapa hiko kifungu?
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Nikikuita Huna Akili, nitakuwa nakosea, ila niseme tu Akili ulizonazo Hazitoshi Mkuu ndomana umekuja kuongezea na Akili za wengine hapa ili ujiridhishe kwa kulinganisha na zako

Kwa hiki kilichotokea ulikuwa huna haja ata ya kuomba ushauri kwa Sababu kila mwenye Akili timamu jibu litakuwa the same, na hadi unaomba ushauri maana yake Akili yako zaidi ya 60% inafikiria kukubali kutoa Mahari uchukue jiko lenye mafiga mawili

Katika harakati za kutafuta mwanaume mwenye sifa anazozitaka huyo Dada, watu washapiga sana na wanaendelea kupiga kwa sababu kuna vitu anavitafuta kwa wanaume ambavyo kuna muda kwako hakuviona na hasa ni (security)

Sasa kwakuwa umekuja Pupa kama Farii na sifa sifa zako kaona matiki yakudondokee wewe, nasie tukwambie tu mkuu tupo upande wa huyo mwanamke hadi Akutoe roho maana unataka movie kamili, kuridhika na lile trailer la mwanzo

Hakuna mke hapo wala hakuna wakwe Hapo Kama utakuwa na Ahadi na Mungu wako kwamba hutoyumba tena kiuchumi nenda katoe Mahali uoe
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Acha ujinga, oa Huyo mwanamke, mfanye maisha. Ulitaka akuvumilie na shida zako Kwan umezaliwa na yeye, mwanamke akikuzidi kipato lazma akudharau Maana wanaume tumeumbwa kulea Familia, kushindwa kutimiza hayo majukumu lazma kuleta dharau na mengine.

Nikwambie Hata ukipata mwanamke mwingine ujue sabab ya Hela zako, Sasa kwann usioe TU demu wako wa kitambo Huyo, hiyo Hela itasaidia kukupatia heshima. Tukubali tukae Hela Kwa mwanaume ndio heshima Kwa familia
 
Wanawake ni wengi sana mkuu, kwasababu gani ung'ang'anie pabovu!

Hakuna mwanaume mwenye upeo ataoa huyo mwanamke.

Mimi mwanamke akishanitendea uovu, nakata kabisa uhusiano na yeye forever.
 
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Oya em fanya mambo yako.Mtu anakuonesha wazi kuwa anathamini kitu na sio utu alaf unajishaur mara mbili mbili
 
Mwambie ukweli kua mahari hutoi na wala huwezi kuishi nae...kwanini umeogope kumchana ukwel,mwambie kua kuoa landa 2030 huko
 
Pumbavu wewe ushauri gani unaomba
 
Back
Top Bottom