Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.

Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja nikaingia nae kwenye mahusiano yasiyo kuwa rasmi, baadae niliamua kwenda kwao kujitambulisha sababu tayari alikuwa mjamzito, nilipokelewa hadi hatua za kutoa posa na kupangiwa mahari, tuliendelea kukaa kwa furaha sababu nilikuwa nampenda na yeye alionyesha upendo na wakati huo nilikuwa na kibarua sehemu fulani.

Ilifikia muda nikapata shida kazini nikapoteza kazi, hapo ndipo nilianza kuona picha za rangi zote, dharau, kejeri, kunyimwa papuchi, sometimes hapiki chakula najipikia, kwao wakaniandama sana, kiufupi sikupata ahueni yeyote nilipohitaji kuwashirikisha kuhusu tabia zake, wote walinikataa kiaina.

Alifikia hatua ya kujifungua nikiwa nae bado nilihudumia kadri ya uwezo huku nikiugulia moyoni kwa machungu, sikuwa na ajira japo nina elimu ya juu na yeye alikuwa anafanya kazi hadi sasa.

Kiufupi kama mwanaume mpambanaji niliamua kutoka hiyo sehemu na kwenda kutafuta niliamuacha aendelee na maisha yake.

Hivi karibuni nilirudi huo mkoa na anafahamu napoishi na mambo yangu yameanza kunyooka maana niliamua kujiajiri, naona sasa anajisogeza sana hapo ni baada ya kuwa nimeanza kuongeza kiwango cha matumizi kwa mtoto na amepata taarifa kwa watu na mengine kajionea mwenyewe kwamba kwa sasa niko na ahueni hata zaidi ya alivyonikuta mwanzo.

Kimbembe kimeanza anataka nikatoe mahari kwao nimchukue tuishi tena pamoja lakini mimi moyo wangu hautaki kabisa na kwa sasa niko na imekuwa ni simu na sms nyingi sana kutoka kwake na akionana na watu wanaonifahamu anaanza kunimwagia sifa.

Kiukweli wakati naondoka kwenye maisha yake hatukuachana vizuri ilikuwa ni fukuto kweli kweli, yaani mambo yalikuwa mengi siwezi kuyaeleza yote mengine yaliniliza kwa uchungu wa kukosa pesa na kudhalilishwa sana na huyu mwanamke.

Kila nikienda kumsalimia mtoto nashikwa uchungu why niko mbali na mtoto wangu isitoshe ndiye wa kwanza, na mtoto keshaanza shule na ananipenda sana ni kawaida kunililia nikiwa namuaga!

Nikikumbuka matendo ya huyu binti aliyonifanyia ndani ya mwaka 1 wa madhiha na uvumilivu wa hali ya juu hadi kufikia kumchoka akilini mwangu, nikiwaza kumrudia roho inagoma maana nafikiria siku nikiyumba tena yatarudi yaleyale.

Familia yake ameshawambia haya yote nao naona wameanza kumwambia aniombe nikatoe mahari ili tuishi tulee mtoto.

Wakuu pointi ya msingi nakuwa matatani kufanya maamuzi hasa nikikumbuka matendo aliyonifanyia na nikimuona mtoto wangu ndo kabisaaa akili inahama, naombeni ushauri wenu.

By Chumvi YMawe
Mkuu, umepata bahati ya kuona rangi halisi za huyo mama mtoto wako, mungu akupe nini zaidi kwenye maisha???
Hapo kuna haja ya kuomba ushauri tena? Tukikushauri mrudiane utarudiana nae? Ili ukiishiwa tena yakupate mara 100 ya hayo ya mwanzo?

Bro kwenye maisha haya ujue kuna neema kwenye kila laana. Yaani kila baya linalokupata ndani yake kuna fursa ya kujifunza kitu. Mungu alikufilisi ili uone uhalisia wa mtu unayemfanya lifemate. Sasa pamoja na bahati ya kujua kuwa huyo mwanamke ni gold digger, ni mtu anayejali kitu (mali) kuliko utu bado tu unatafuta ushauri ili umrudie??

Ninachoona wewe tayari unamtaka, umekumbuka mapenzi yake na sasa unatafuta uhalali kutoka kwenye ushauri wa watu hapa. Coz kama kweli ungekua unaukumbuka uchungu aliokusababishia ilikuaje umpe nafasi hadi ya kujadili mpango wa kupeleka mahari kwao? Anapata wapi hiyo nafasi ya kukuambia hilo badala ya kujadili issue za mtoto pekee?? Na wewe inaonekana unamfatilia, umejuaje kwamba kaongea na ndugu zake kuhusu ww.

Mkuu mind your business achana nae,, kama ni mtoto, kumbuka kanuni ya asili mtoto ni wa baba always ndo maana anatumia ubini wako. Anaishi na mama coz ni mdogo na hawezi kujifanyia kazi kama kuoga na kufua,, akikua kidogo atakuja kwa baba. Na kama unamrudisha mke kwa ajili ya mtoto it means ukizaa na wanawake 5 tofauti, utalazimika kuwaoa wote ili uwe karibu na watoto?

Endelea kumweka karibu, na mwisho umtie mimba nyingine ila unachokitafuta utakipata. Ungekua karibu hapa ningekupiga makofi......
 
S

Single mothers ni pasua kichwa!
 
Una akili kweli wewe? Mwanamke amkuacha ukiwa na shida tena mpaka familia yake haikua na wewe wakati wa shida leo ndio unakuja na swali la kipuuzi namna hii?
 
Ukimuoa huyo shetani UMEKWISHA ....
 
Mkuu, umepata bahati ya kuona rangi halisi za huyo mama mtoto wako, mungu akupe nini zaidi kwenye maisha???
Hapo kuna haja ya kuomba ushauri tena? Tukikushauri mrudiane utarudiana nae? Ili ukiishiwa tena yakupate mara 100 ya hayo ya mwanzo?

Bro kwenye maisha haya ujue kuna neema kwenye kila laana. Yaani kila baya linalokupata ndani yake kuna fursa ya kujifunza kitu. Mungu alikufilisi ili uone uhalisia wa mtu unayemfanya lifemate. Sasa pamoja na bahati ya kujua kuwa huyo mwanamke ni gold digger, ni mtu anayejali kitu (mali) kuliko utu bado tu unatafuta ushauri ili umrudie??

Ninachoona wewe tayari unamtaka, umekumbuka mapenzi yake na sasa unatafuta uhalali kutoka kwenye ushauri wa watu hapa. Coz kama kweli ungekua unaukumbuka uchungu aliokusababishia ilikuaje umpe nafasi hadi ya kujadili mpango wa kupeleka mahari kwao? Anapata wapi hiyo nafasi ya kukuambia hilo badala ya kujadili issue za mtoto pekee?? Na wewe inaonekana unamfatilia, umejuaje kwamba kaongea na ndugu zake kuhusu ww.

Mkuu mind your business achana nae,, kama ni mtoto, kumbuka kanuni ya asili mtoto ni wa baba always ndo maana anatumia ubini wako. Anaishi na mama coz ni mdogo na hawezi kujifanyia kazi kama kuoga na kufua,, akikua kidogo atakuja kwa baba. Na kama unamrudisha mke kwa ajili ya mtoto it means ukizaa na wanawake 5 tofauti, utalazimika kuwaoa wote ili uwe karibu na watoto?

Endelea kumweka karibu, na mwisho umtie mimba nyingine ila unachokitafuta utakipata. Ungekua karibu hapa ningekupiga makofi......
Board member haya ni madini makubwa sana, Mungu akubariki.

Chumvi YMawe pitia huo ushauri kwa makini sana.
 
Back
Top Bottom