Lissu: Zanzibar ni koloni la Tanganyika

Safi sana Lissu, watie hasira wazenji na kuwajaza maujinga hadi wakinukishe ingawa kiuhalisia sisi ndiyo koloni lau.
Yah kinyume chake ndio ukweli. Sasa nani koloni wa mwenzake kama wao wanaweza kuja bara wakafanay chochote bila kuhitaji kuwa ni kitambulisho. Kama wao wanafaidika na kazi za abra ila mtanganyika labda ukafanye kazi hotelini ila si serikalini. Kama wao hadi wanafikiria twende kwao kwa passport, kama wanaweza kumiliki ardhi. Muda mwingine wanasiasa husema lolote kuwafurahisha walio wengi.
 
Alicho ongea lissu sio ujinga labda kama una tafsiri yako ya ujinga.

Na Tanganyika sio koloni la Zanzibar ukielewa yule anaye ng'ang'aniza muungano na yule anaye pinga ndipo utajua yupi ndio mkoloni halisi.

Alicho ongea Lissu ndio ukweli halisi.
 
Yah kinyume chake ndio ukweli. Sasa nani koloni wa mwenzake kama wao wanaweza kuja bara wakafanay chochote bila kuhitaji kuwa ni kitambulisho. Kama wao wanafaidika na kazi za abra ila mtanganyika labda ukafanye kazi hotelini ila si serikalini. Kama wao hadi wanafikiria twende kwao kwa passport, kama wanaweza kumiliki ardhi. Muda mwingine wanasiasa husema lolote kuwafurahisha walio wengi.
Anaye lazimisha muungano ndio mkoloni.

Na nafikiri unafahamu yupi analazimisha huo muungano.
 
Back
Top Bottom