Zanzibar bila Tanganyika

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,246
8,970
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI

Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
 

Attachments

  • 6971fe7db1464016a314ed60d3fada08_A54C31F8E8520C536BF2BA2E8CC7DAA4_video_dashinit.mp4
    6.7 MB
  • 905a6b30aebf42d4858ea36756f8fa19_E04E10A2B5574A5F6FF9ACF68F13CCB2_video_dashinit.mp4
    18.9 MB
Kwann vikao vya kuchagua Viongozi havifanyiki Zanzibar?

Zanzibar sio nchi ni visiwa vilivyopewa nguvu ya kujiongoza ni autonomous state. Ndio mana hawana jeshi wala sarafu.

Hivyo lazima viongozi wao wafanyiwe vetting toka Tanganyika Dodoma ili kujidhihirisha juu ya loyality yao ya kulinda maslahi ya Tanganyika kupitia koti la muungano.
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Uliyosema sio kweli, kinyume chake ndio kweli.

1. Koti la muungano limewakaa vizuri wa Zanzibar ila koti la wazanzibari ndilo linalowabana wa iliyokuwa Tanganyika.

2. Iliyokuwa Tanganyika ina fursa kubwa zaidi kuliko zilizoko Zanzibar. Sehemu kubwa ya fursa hizo huinemeesha Zanzibar na sio vinginevyo.

3. Tanganyika haipo, serikali ya Tanganyika na mihimili yake haipo, watanganyika hawapo, hakuna kitambulisho cha mtangayika badala yake kipo cha mtanzania.

4. Zanzibar ipo, serikali ya Zanzibar na mihimili yake ipo, wazanzibari wapo, wazanzibari wana kitambulisho cha uzanzibari na cha mtanzania.

Kwa maelezo hayo nani koti limemkaa? Na nani kabanwa na koti?
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Kumbe visa zenji hawapati kitu? Haiko sawa
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Ni muda tu haujafika tunafanya kama alivyofanya India kwa Kashmir. Hizo kelele ziishe
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).

..Waziri wa Mambo ya ndani ambaye ana dhamana na Idara ya Uhamiaji ni Mzanzibari. Katika mazingira hayo sio sahihi kutulaumu Watanganyika kwamba tunawanyima mapato yanayotokana na visa.

..Pia vipi kuhusu makusanyo ya malipo ya visa kutoka kwa wageni wanaotua na ndege Zanzibar bila kupitia Tanganyika? Hayo mapato Wazanzibari mnayapeleka wapi?
 
Back
Top Bottom