Kwa kauli za Masauni, Tanganyika tumekuwa koloni la Zanzibar

Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar.
Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
Bavicha hamtaachwa salama mkiendelea na chokochoko,tena Kauli kama hizi ndio tunazipenda
 
Polisi Haina Uzalendo wa watu wapumbavu kama huyu hapa 👇

😃😃😃😃

Shetani alimuuliza Eva " Eti Mungu amewakataza kula tunda la mti wa katikati ya bustani?"

Eva akamjibu " ndio matunda yote twaweza kula isipokuwa tunda la mti wa katikati"
 
Asee hili suala ninaona linataka kuchukua sura mpya, viongozi mliopewa mamlaka bado mnayo nafasi ya kufanya kitu kurekebisha mambo! Msipuuze
 
Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar.
Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
Kwakweli polisi msikubali, maana na nyie ni waTanganyika wenzetu, mnakubali vipi tunauzwa na wala urojo?!
 
Naona watu wanahusisha issue ya bandari na UCCM na uCHADEMA.Hii issue inahusu Tanganyika kuuzwa rasilimali zake.Bila kujali tofauti ya vyama ,Watanganyika inabidi tuungane kwenye hili!
 
Back
Top Bottom