Labda
Samia anaweza kufanya lolote ila si Katika haya
Kuvunja au kabadilisha mfumo wa Muungano (kuweka serikali tatu)
Tume huru ya Uchaguzi (amabyo itahatarisha kikamilifu utawala wa CCM nchini)
Kuzuia CCM wasiibe mali ya umma
Katiba mpya anaweza kuleta, Ila vikwazo vikuu vya katiba mpya ni Muungano na Tume huru. na ndio mana wanaendelea kuzuga kutafuta njia ya kuileta bila ya kuwathiri katika mambo yao ya msingi.