Kifalsafa Zanzibar ni Kubwa lakini kijiografia Tanganyika Ndio Kubwa, ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,423
142,661
Zanzibar imekuwepo kitambo Sana na bado ipo lakini Tanganyika kama Tanganyika hatunayo kwa miaka 60 sasa ambao ni Umri wa kustaafu kwa lazima

Kusema Zanzibar ni koloni la Tanganyika ni kujidanganya kwa kujifurahisha tu

Naingia Kanisani, Mungu wa mbinguni awabariki Sana 😄
 
Back
Top Bottom