Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,366
- 13,117
Msikilize Lissu hapa akitema cheche
Ukweli lazima uwekwe wazi
Ukweli lazima uwekwe wazi
Haiwezi kuwa kinyume chake alichosema Lissu ndio ukweli wenyewe unaotendeka.Kinyume chake? 🐼
Huwa anaongea anacho fahamu.Huwa raha sana kumsikiliza Lisu akichambua mambo
Tena alichofanyia utafitiHuwa anaongea anacho fahamu.
Safi sana Lissu, watie hasira wazenji na kuwajaza maujinga hadi wakinukishe ingawa kiuhalisia sisi ndiyo koloni lao.
Inasikitisha sana na tunaona jambo la maana sana.Dunia ilishafuta ukoloni lakini Tanganyika bado tunaikalia Zanzibar kwa nguvu.
SahihiTena alichofanyia utafiti
Mamlaka ndio hayo mliojivisha ukoloniHiko kichwa angeingiza kwenye ilo Drier kwanza
Ila tunaiomba TANGANYIKA kwenye Muungano na sisi tuwe na mamlaka yetu
Yah kinyume chake ndio ukweli. Sasa nani koloni wa mwenzake kama wao wanaweza kuja bara wakafanay chochote bila kuhitaji kuwa ni kitambulisho. Kama wao wanafaidika na kazi za abra ila mtanganyika labda ukafanye kazi hotelini ila si serikalini. Kama wao hadi wanafikiria twende kwao kwa passport, kama wanaweza kumiliki ardhi. Muda mwingine wanasiasa husema lolote kuwafurahisha walio wengi.Safi sana Lissu, watie hasira wazenji na kuwajaza maujinga hadi wakinukishe ingawa kiuhalisia sisi ndiyo koloni lau.
Tanganyika siyo koloni?Haiwezi kuwa kinyume chake alichosema Lissu ndio ukweli wenyewe unaotendeka.
Alicho ongea lissu sio ujinga labda kama una tafsiri yako ya ujinga.Safi sana Lissu, watie hasira wazenji na kuwajaza maujinga hadi wakinukishe ingawa kiuhalisia sisi ndiyo koloni lau.
Anaye lazimisha muungano ndio mkoloni.Yah kinyume chake ndio ukweli. Sasa nani koloni wa mwenzake kama wao wanaweza kuja bara wakafanay chochote bila kuhitaji kuwa ni kitambulisho. Kama wao wanafaidika na kazi za abra ila mtanganyika labda ukafanye kazi hotelini ila si serikalini. Kama wao hadi wanafikiria twende kwao kwa passport, kama wanaweza kumiliki ardhi. Muda mwingine wanasiasa husema lolote kuwafurahisha walio wengi.
Unaweza pinga hoja za Lissu kama unaweza.Tanganyika siyo koloni?
Wengi wananyimwa kuufahamu kwa namna moja au nyingineHuo ndio ukweli kabisa!