Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Tueleweshe ..napenda kujifunza nijazie kwa yale niliyonayo
Mimi ni Christian by faith Tena Ile Ile..lakini pia nimebahatika kupanua kidogo knowledge nje ya Imani yangu....So tukidiscuss mada Kama hizi Kwa kubase kwenye biblia itatubana, maana biblia inaongelea historia ya Mashariki ya kati pekee na pembe ya Africa Misri na Kushi(Ethiopia)Kwa uchache sana..Biblia haijaongelea habari za Bara la America Wala Australia Wala Mashariki ya Mbali,(China, Thailand,Malaysia,)angalau Ulaya imeongelewa kidogo kwenye Falme ya Rumi lakini si Kwa undani sana...so ndio maana nikasema tunavyoangalia haya masuala si vyema kubase kwenye kitabu kimoja ambacho ni Biblia...Biblia imekaa kiimani zaidi kuliko kinadharia,imagine story ya Safina ya Nuhu inaongelea wanyama wote walipandishwa safina,Safina ilitua milima ya Ararat wanyama wakatoka,lakini Leo hii ukienda middle East hakuna Simba Wala Twiga ,Hawa wanyama utawakuta Africa,swali fikirishi walifikaje Africa?ilhali Kuna bahari ya Hindi katikati yetu?Kuna vitu vingi sana tukiwaza nje ya box hatupati majibu nnyoofu
 
We tiririka tu..mie nimejifunza uislam kwa kwenda madrasa..nimejifunza ukatoliki kwa kwenda mafundisho yote hadi ya ndoa...nimewahi kukaa na kuongea na Sir Andy Chande [ east Africa grand masonic master] nimefika Misri nikajifunza vichache...pia nimeishi DRC nimejifunza kdg mambo ya ki utamaduni...hivyo we kwangu ongea tu..napenda kujifunza mambo mengi
 
Hebu endelea naeza kujifunza kitu kwako..
 
We tiririka tu..mie nimejifunza uislam kwa kwenda madrasa..nimejifunza ukatoliki kwa kwenda mafundisho yote hadi ya ndoa...nimewahi kukaa na kuongea na Sir Andy Chande [ east Africa grand masonic master] nimefika Misri nikajifunza vichache...pia nimeishi DRC nimejifunza kdg mambo ya ki utamaduni...hivyo we kwangu ongea tu..napenda kujifunza mambo mengi
Wewe Sasa ndio unaweza discuss hizi mambo Kwa upana zaidi,Kuna mkufunzi wangu aliwahi sema,huwezi
Sema ukristo ni mzuri kuliko uislam,au uislam mzuri kuliko ukristo wakati umepokea kimojawapo Kwa wazee wako,lazima ujifunze vyote ndio uchague kimojawapo...Kwa hiyo nikupe hongera Kwa kupanua akili yalo
 
We tiririka tu..mie nimejifunza uislam kwa kwenda madrasa..nimejifunza ukatoliki kwa kwenda mafundisho yote hadi ya ndoa...nimewahi kukaa na kuongea na Sir Andy Chande [ east Africa grand masonic master] nimefika Misri nikajifunza vichache...pia nimeishi DRC nimejifunza kdg mambo ya ki utamaduni...hivyo we kwangu ongea tu..napenda kujifunza mambo mengi
Ila na wewe kiboko,Hadi Sir Andy Chande vipi ulifanikiwa kupata lolote huko?Je ndio wao wanaochorachora Hizo michoro au?maana wao sio ndio wajenzi hao?
 
Na unaamini kabisa mzungu Hana vifaa vya kuchonga hiyo miamba kweli??kama anaweza kuchonga vyuma anashindwaje kuchonga miamba?mzungu sio wa kumuamini sana anaweza kuchonga vizuri tu hapo akapuliza na material ya kulifanya jiwe limezeeka halafu akazua taharuki,,,,,maybe ni kweli maybe si kweli
Kuichonga miamba inawezekana ila Sio kwa ustadi kama walivyofanya hao miungu ili tufikie hiyo tech lazima tuwe na laser tools ili kushape maumbo mbali mbali now tuna yapasua na baruti na kushape Sio kwa degree kama yale yaliyotumika kuzijenga pyramids ile tech ni balaa yaani wanasayansi bado wapo na kitendawili wale waliwezaje wezaje!
 
Back
Top Bottom