Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Eeh najifunza zaidi hapa
Nenda ka google ankor wat,Kailasa temple,Sri lanka temple,Peru temple,cholula na Mesoamerica Pyramids na za Misri pia halafu Rama setup bridge angalia mfano wake japo zipo mabara na nchi tofauti utagundua mjenzi ni mmoja
Na zimefafana historia zote ni miungu ilijenga hao miungu ndio hao Anunaki!
 
Nimeanza kushangaa na kuona vitu tofauti, na jaribu kuunga dots na hiki ambacho wengi tunakijua toka ktk dini zetu
Dini ina limitations kwa watu wake ukitoka nje ya dini utajikuta upo uwanda wa juu na kufungua code ambazo hakuna mtu wa dini atakaa azijue,
Nisingetoka nje ya dini nisingejua hata ku atach spiritual awakening na kua free mind na nisingeweza kujua mambo mazuri ya kiroho na kimwili
Leo nimekua mtu tofauti yaani a new being,
Natamani kila mtu aanze kuona nacho kiona ila wengi wapo pangoni nawaonea huruma sana sina namna nitashare maarifa hapa hapa siku Moja!
 
Hiyo spiritual awakening inakuaje
 
Pia kingine cha maana angalia hiyo tech ya kuichonga miamba,
Hizo Symbols zimechorwa kwa ustadi sana leo hakuna vifaa vya kuichonga miamba kwa namna ya ajabu hivyo nalo ni Moja ya ajabu!
Na unaamini kabisa mzungu Hana vifaa vya kuchonga hiyo miamba kweli??kama anaweza kuchonga vyuma anashindwaje kuchonga miamba?mzungu sio wa kumuamini sana anaweza kuchonga vizuri tu hapo akapuliza na material ya kulifanya jiwe limezeeka halafu akazua taharuki,,,,,maybe ni kweli maybe si kweli
 
Back
Top Bottom