Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Kiufupi hao Sio binadamu wa kawaida,
Hao ndio ANNUNAK au Nephilim wenyewe huo mchoro wa kwanza unaonesha Mother godes akichukua power kutoka kwenye mti wa uzima (power plant )
Hiyo inawafanya wawe immortal
Yaani Mzee baba hiyo sayansi ya hapo ni zaidi ya ile kwenye cinema za
iron man
Hao miungu walikua more advanced kwenye science na tech kiasi kwamba hapo alipo ukiangalia vizuri aina ya mavazi aliyovaa na mwili wake vina muungano yaani ni super computerlized machine!
Eeh narudi tena kutazama mchoro
 
Eeh narudi tena kutazama mchoro
Kingine hao walikua magiant sana yaani hapo binadamu kwao ni kama wewe unavyomwangalia nyau 😁

Kiufupi hao miungu walikua ni waajabu sana just imagine huyu ndio Lord Enki na huo ndio tree of life akichota ma power!
 

Attachments

  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 5
Dunia iliwahi kaliwa na Race ya Annunak ambao walitoka Sayari Ya Nibiru kwa malaki ya miaka hao ndio waliochimba dhahabu kwa 90%
Na iliyobaki ndio hii tuliyobaki nayo leo na wakaipeleka kwao na hao ndio viumbe walioitwa Miungu katika Dunia ya kale,
Kuna mambo makubwa yatakayo kushangaza ukianza fuatilia Haya mambo na ni very complicated kiasi kwamba itakubidi uingie darasani na kutenga muda kuyajua!
Ili ayajue inabidi dini yake aiweke pembeni kwanza
 
Yanii cha kabisa nivoona title jiwe mwamba tu nkajua niyeyeeee haaa nafika kusoma content sasa 🤠🤠!



Cc Smart911
Pole kwa kuumizwa kichwa madame hapa tunazungumzia Jiwe Mwamba mgumu The Inga stone og kabisa Mwamba uliochorwa mapicha ya kutisha zama za mawe za kwanza huko yaani kuna waja wanachora mifumo ya Sayari na hawakua na
James Web Telescope hivi madame hao walikua watu kweli au?
Wakati sisi ndio Mwaka juzi tu ndio tunajua na tunapata picha kwa kupeleka vifaa space kwa maroketi kweli kina zinjanthropus walikua na uwezo huo?
😁😁
 
Dah inafikirisha sana hiyo michoro
Hatari na nusu mkuu kuna michoro Mingi tata kama michoro ya astronaut ya wamaya na Aztec yaani hawa jamaa walienda space muda sana!
 

Attachments

  • AN5EOE7LCIRFTVKSG4UQ6RTQBY.jpg
    AN5EOE7LCIRFTVKSG4UQ6RTQBY.jpg
    209.9 KB · Views: 3
  • 2f96fd4ebf80bbcf6473df46aaeee8d7.jpg
    2f96fd4ebf80bbcf6473df46aaeee8d7.jpg
    16.5 KB · Views: 4
  • pacal.jpg
    pacal.jpg
    59.3 KB · Views: 4
  • 2e8d1560c994bfcef789d260cf4da03d.jpg
    2e8d1560c994bfcef789d260cf4da03d.jpg
    157.9 KB · Views: 7
  • il_fullxfull.4694373949_piaa.jpg
    il_fullxfull.4694373949_piaa.jpg
    187 KB · Views: 6
Unataka kuniambia hii michoro ni toka kipindi hiko cha hao anunaki ?
Hawa Annunak walijenga Matemple mengi sana angalia hii Kailasa temple India huko imechongwa kwenye single rock yaani huu Mwamba ulivyonakshiwa hii tech hapana hawa walitumia mionzi ya laser aisee very high advanced tech!
 

Attachments

  • Aurangabadellora_kailash_temple.jpg
    Aurangabadellora_kailash_temple.jpg
    86.7 KB · Views: 6
  • Ellora-Caves-Kailash-Temple-Right-View.jpg
    Ellora-Caves-Kailash-Temple-Right-View.jpg
    390 KB · Views: 5
  • 36098777653_9aae82a26d_b.jpg
    36098777653_9aae82a26d_b.jpg
    277.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom