Kuna Nini kipya unacho ambacho hakipo mtandaoni na vitabuni. Nadhani umemeza pdf za kutosha yaani unayo trading knowledge, na hiyo sio kuwa ndio suluhisho la kuwa profitable na ndio Mana wengi mno wanakimbilia kufundisha.
Unamfundisha una uhakika atameki money ama Ata loose money. Acheni hii kitu sio ya kukumbilia kuwafundisha watu ni sawa na kutaka eti umfundishe mtu awe like Mike Tyson unadhani ni wangapi like him.


Wewe unataka tu kuchukua hela za training, yaani Ni bure Ila unayo agenda behind nothing is free under the sun even the sun itself isn't free as it may seem.

Hapo mwishowe utauza pdf, ama utakuwa group la signals utawapa watameki hela baadaye utawaambia lipia.


Kama unajua fundisha Koo yako muwe matajiri then watu waanze kuwasumbua na wao kuwa teach us how you'd become rich and wealth.


Trading is real Ila sio inavyohubiriwa na HIGH GRADE SUCKERS/A+.
Ambaye ame memorize all trading aphorism, quotes, axioms etc anakuja kuwapa watu ili awatoe hela.


Kama unaijua toa investor password yako hapa tuone unachomeki kwanza.

Trading haifundishwi wanaofundisha wanameki hela zao wenyewe na sio kuwa Ni kwa faida ya traders aka newbies.
Kuna contents za free ambazo mtu anaona Ni kipaji chake anakomaa na anazipata.

Mwenyewe am trading but I don't like to see some scammers scamming others money.

Elekeza Cha kufanya , toa channels YouTube, toa vitabu, Kama wewe Ni YouTubers sema watu wakufuate ili umeki hela as YouTuber not like a trader.

The real legendary traders are so few and don't have time to brag or boas in social networks.

Niambie legendary traders yupi aliyefundisha.


Listen nigga if you really truly know and understand this shit so called trading you can make millions of dollars in an embarrassing very short time.
But beware the SKILLS and CAPITAL to bring those profits are not so easy to acquire like shit that possessed by anyone or to have in an ordinary people.



Watu waliacha shule wakitegemea matunda from trading mwishowe wamebakia mtaani.

No easy money.
If you wanna be trader and consistently making profits consider yourself dedicating like 5-7 years diving into this heavy forest or deep ocean into the sea bed then come out of the ocean surface with Pearls.

Do you hold either CTA, sie, s57 or any financial certification to do what you wanna do to people.


Yaani watu wanalizwa Especially masikini yaani anapigwa kila upande kulia Kuna politician anamkula, kushoto Kuna watu wa dunia wanampiga, juu Kuna mfabyabishara na chini Kuna mganga wa kienyeji akimuahidi utajiri na mafanikio ya fasta.
Kaskazini magharibi Kuna mwamziki anamuuzia starehe ya nyimbo, Mana masikini wanna muda mwingi mno wa vichwa vyao kuviwekeza katika kuwaza starehe , kushinda social networks, kuangalia movie, kusoma hadithi za ngono, kupata muda wa kubeti yaani maskini ni mtu anayeamini Kuna namna mapori yatajifyeka , yatajilima, yatajipanda, yatajipalilia Mara puuu chakula hiki hapa mezani bila ya yeye kutoa jasho.
Yaani anaamini kuwa atakuwa na afya njema pasipo kula kiafya bali anakula chochote kitamu kinamchomvutia tamaa zake bila ya kuzidhibiti, anataka awe na maarifa Ila Hana muda wa kusoma vitabu so akipata mtu wa kumuweka chip katika head yake ili awe na maarifa sawa na msomi nadhani atainunua , anataka awe na body nzuri Ila hataki kwenda gym ama kufanya zoezi zuri. Ana muda wa kusoma ngono ama kusikiliza muziki Ila kutenga hata dakika tano kuongea na Muumbaji kila baada ya masaa matatu anaona kuwa Ni adhabu kwake huko kichwani Kuna magugu na ngano mengi mno Mana kila wakati mawazo mabaya unayo yanaondolewa kwa kusali Mara kwa Mara , roho ni sawa naa mwili mbona wewe mwili wako kila wakati unakula na unaupa chakula Ila roho unadhani ndio hahitaji chakula Kama mwili.

Remember that

you are a soul with a body, rather than a body with a soul. That you are not a human being having a spiritual experience, but rather a spiritual being having a human experience.


Usiposoma utakuwa mtaji wa watu mpaka utabakia mifupa pumbavuu wewe.


Inabidi uwe na maarifa ya kutosha Mana hata madaktari wanaishi kwa ujinga na ulaji wako wa ivyo ovyo ambao unakula bila ya kujua why unakula na unachokula kinakupa faida gani yaani unakula because you've to eat.

None can make good life for you but it has to brought by yourself.


Ivi Kuna mahala wanauza mafanikio. Mtu anataka avae gwanda la kijeshi pasipo kupitia Ile process, yaaani mtu anataka utamu wa sex bila ya ku incur cost of sex.


Kuna kozi hapa nauza namna ya ku tredi yaani utakuwa billionaire ndani ya mwaka mmoja,


Mie ni mganga wa jadi wa kutoka tanga, congo, Nigeria, sumbawanga, ukerewe, kigoma, lindi Kijiji Cha mpiga miti liwale. Njoo kwangu matatizo yote yataisha km kukosa mimba, mme/mke, kufeli darasani, kutopata kazi, kupata mvuto kazini upandishwe cheo, mwembamba uwe mnene ama mnene uwe mwembamba, Kama uume hausimami vizuri, unawahi kumaliza, unakataliwa na wapenzi, ukiona ndoa inawahi kuvunjika, biashara zako njoo ndani ya miezi mitatu utakuwa unaenda china kufuata mzigo. Mimi ni kiboko hakuna linaloshindikana kwangu. Pumbafu sana you've the power within once you're aware about who are you. Seek nothing outside yourself. Gotcha to know yourself but it doesn't come easily otherwise nipe hela nikufundishe ujijue



Mie nichagueni niwe mbunge/diwani/raisi wenu nitawaletea maisha mazuri mno. Yaani nchi nzima taramac road, hospital bure, elimu bure, kula na kulala bure, kufaki bure kila mtu unayempenda, wakulima , wanafunzi, wafanyakazi na wafanyabiashara hawatalipa ada na Kodi, ajira za kutosha nchi nzima mtazikimbia wenyewe jamani, nitaleta treni ya bure na basi za serikali mtapanda bure, umeme na maji bure, nyumba mtajengewa na nhc Mana tunayo madini, mbuga, misitu na umeme wa kuuzia dunia nzima, umeme wa nyuklia tunayo aluminum hapo dodoma majuzi hapa nimeongea na Putin aweke kiwanda Cha kuchakata hayo madini ili tupate umeme wa kuuzia dunia nzima, tutakuwa matajiri na USA tutawapa msaada na wazungu watakuja kutafuta ajira kwetu.

Mie ni mtt wa mkulima wenu jamani nakula kwa mama ntilie, napanda daladala , na boda , nalima Tena kwa mkono Kama nyie tu nitajihidi uchina watupe elimu na vifaa vya kufanya kilimo Cha maana.



Fakiyu unadhani huyu atakufanyia maisha yako magumu Kama zege yawe laini. You do it by yourself you've been given the power within to do it. God created man by his own image, seek the heaven Kingdom others will just like additional to you and nb the kingdoms of heaven is within you.

Huyu ataenda kula Bata utabakia unalalamikia njaa tu na siasa kuwa huyu kiongozi hivi na vile.
He's eating you , he doesn't has mercy, pity or any sympathy with your life. Have you ever seen cheetah having sympathy of not eating buffalo calf eti kisa anamhurumia the same unaliwa na walioko juu yako by everything they fought hard to be there where they're. They don't care about you , your health, katafute uone hii ngano unayokula dunia nzima sio Ile ya asili imefanyiwa hybridization around 1950 farmers wakawa wanapata mazao 10X kuliko Ile mbegu ya mwanzo from nature that's why you become mteja wao. Hii ngano inayoliwa inapandisha blood sugar more than even sugar itself.

Unajua haya majuisi na masoda mnayobugia Mana unapenda utamu na Raha ya muda mfupi Kama upendevyo ngono ya muda mfupi inakusaidia Nini mwilini mwako?
Soda like koka kola has gotten nothing to our health Ila since masikini wa maarifa, pesa anachotaka ni Raha ya mfupi mpe aaugue arudishe hele zetu kupitia ugonjwa wake. Like in USA Kuna hela Ila hizo hela utazirudisha tu Mana chakula wanachokula asili pekee inajua. Koka Ina asidi pH level of 2.6 Kuna cells zinatakiwa zifanye kazi at 5.5 pH ingawa pia ni level ya kansa , so inabidi ule vyakula vya kupandisha pH ya mwili inaanzia 7.35 ukipima kwa blood, hapo magonjwa haugui na watakosa wajinga wa kuwala hela zao.



Njoo kwa nabii Upako upate uponyaji. Hapa hapa akakosea anajihubiri ukuu wake badala ya kuhibiri anayeponya. Hakuna aliye na nguvu ya kukuponya wewe zaidi ya Muumbaji wetu Ila pia eleewa kuwa Ni Imani yako itakuponya. Mzee wa Upako, natoa mafuta, maji, asali , nguo chupi ukivaa mambo yako yatakunyookea, yaani ukiweka ama ukiuza anything kwa mgongo wa dini utapiga hela mno.

Jamani mie mchungaji wenu Sina nyumba, gari la kutembelea tujichange at the same time wewe ukiwa na shida nakupiga maombi uwe na Imani utapokea ama utajibiwa maombi yako. Watu huko Kenya wamekufa mchungaji akachukua Mali zao, Kuna kibetwere eti 2000 mwisho wa dunia Ila akasepa na family yake wengine wakaungua Mana walikuwa watt kwake kiimani so everything aka hope wakaweka kwa huyo jamaa.
Elewa Muumbaji wetu yupo kila mahala ndani yetu na nje yetu hakuna mtu aliye na stahiki ya kummiliki ama kumuamuru afanye lolote kwako Bali Ni wewe tu


Naweza nikaandika mpaka miaka 1000 ikaisha naandika Ila masikini wa maarifa, pesa, njaa, mawazo, fikra, mindset inabidi watu wapewe elimu wajue kujitegemea na sio kuwa watumwa wa kuwa wanalisha wajanja wachache.

Mfano kusali hakuna eti Kwenda jumba fulani eti ndimo Mungu yumo yaani hakuna naweza nikafa naitetea Imani yangu.

Hakuna mtu fulani mahala fulani kuwa yeye anawasiliwana na Mungu wetu.


Ishu people wanataka kupewa kila kitu. I don't know ni hizi spoon-feeding schools ambazo zinawapa wanafunzi ufaulu wa kutosha na kila mtu anataka ashikwe mkono.


Am telling you madhafanta that your cavemen ancestors wakifufuka wakuone dunia unayoishi ilivyo na kila fursa na zipo nje nje Ila bado umelala unacheki series unasubiria mtu akuletee mafanikio. Am sure watakuchoma Moto unajua ni Mara ngapi walivumilia bariadi wakiwa uchi, waliepuka kutoliwa na wanyama wakali, kuchomwa na miiba, walitembea umbali mrefu ili tu wewe kijana laini uje kuzaliwa, walipigana kuhifadhi mbegu na DNA za kwako wewe uzaliwe na bado unalalamika ama unazembea kutaka kueletewa kila kitu mezani. Get out pigana day in day out until patterns will unfold and emerge watu wataanza kujua kuwa umekuja kwangu kupata dawa , nikaombea.
This is what we call tough talk...uncomfortable but necessary for those who are open minded and ready to get out of their comfort zones. Thank you, sir!
 
Mkuu amini mimi nina hela afu ni yanki tu kuna mtu asiye na hela anakataa pesa
Kuwa na hela hakutegemeani na uyanki , umri basi Kama Ni ivyo tunaweza tukasemaa kuwa ukiwa na hela ama ukawa waziri hata baba yako hajawa balozi basi baba yako ni mjinga.

Basi uje tukuombee ili hela zake zipate ulinzi tokea mbinguni .


Ilo likishindikana uje tukupe zindiko ili watu wenye vijicho na hira mbaya ama wabaya wako wasiwe na mawazo kuhusiana na wewe hata majambazi hawatakuweka kwenye rada.


Huduma zote zipo. Kama uje tukufundishe namna ya kuzalisha hela zaidi ili uingie Forbes kwa vijana chini ya miaka 10 weenye kumiliki pesa.


Njoo uwekeze kwenye hisa za USA or Europe even in USA. Ununue bonds za serikali ama uwekeze in precious metals na stocks zinazofanya vizuri yaani ukiweka bilioni Mia moja ndani ya mwaka hivi utakuwa level za akina Elon musk.
Sasa wewe Chelewa na utatumia nguvu nyingi mno kutaka ujulikane una hela na ilhali wenye hela wanajulikana bila hata ya kusema ama kujitambulisha .


Njoo upate ushauri wa kitalaamu wa kibiashara, zindiko la mababu na mizimu yako ikulinde .

Ama uje uombewe maombi makali ili roho mtakatifu na Upako wa bwana uwe karibu na wewe muda wote yaani utakingwa Kama vile nguzo za umeme zenye Moto unawaka zimekuzunguka
 
Kuwa na hela hakutegemeani na uyanki , umri basi Kama Ni ivyo tunaweza tukasemaa kuwa ukiwa na hela ama ukawa waziri hata baba yako hajawa balozi basi baba yako ni mjinga.

Basi uje tukuombee ili hela zake zipate ulinzi tokea mbinguni .


Ilo likishindikana uje tukupe zindiko ili watu wenye vijicho na hira mbaya ama wabaya wako wasiwe na mawazo kuhusiana na wewe hata majambazi hawatakuweka kwenye rada.


Huduma zote zipo. Kama uje tukufundishe namna ya kuzalisha hela zaidi ili uingie Forbes kwa vijana chini ya miaka 10 weenye kumiliki pesa.


Njoo uwekeze kwenye hisa za USA or Europe even in USA. Ununue bonds za serikali ama uwekeze in precious metals na stocks zinazofanya vizuri yaani ukiweka bilioni Mia moja ndani ya mwaka hivi utakuwa level za akina Elon musk.
Sasa wewe Chelewa na utatumia nguvu nyingi mno kutaka ujulikane una hela na ilhali wenye hela wanajulikana bila hata ya kusema ama kujitambulisha .


Njoo upate ushauri wa kitalaamu wa kibiashara, zindiko la mababu na mizimu yako ikulinde .

Ama uje uombewe maombi makali ili roho mtakatifu na Upako wa bwana uwe karibu na wewe muda wote yaani utakingwa Kama vile nguzo za umeme zenye Moto unawaka zimekuzunguka
Yani nimepata hela bila zindiko afu niangaike na zindiko tena.

Afu sijasema watu wasiokua na hela wajinga mkuu
 
Naam, Lete habari.

Tatizo lima kuja pale kile wanachokifundisha/ kihubiri hakilete matokeo chanya ya muda mrefu.

Je unaelewa nini kuhusu
  • Scam
  • Scammer
  • Forex
Ne je hii kauli yako. Fx is scammer 68% inamaanisha nini au unalenga kusema nini, Dijakuelewa.
Hii ya kuptia kwa brocker is not real forex kuwa wanakulink na soko
NIkuliz kwann broker akupe leverage kubwa 1:500 ?
 
Ninachozan kam wew ni pro trader usingekuw na muda wakutafut wanafunz ,🥋🥋🥋💈

Ungefundsha wale watu wa karbu wanaokusumbua tena kwavbure kbsv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom