Jinsi ya kupata mtaji katika forex kwa begginer

Generetaion Z

JF-Expert Member
Oct 2, 2022
343
841
Wakuu

FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake,

Trading hack

Maximum deposit 50$

Broker Deriv

Instrument -Volatility 75(1s)

Target per day profit 8$

Lot size maximum to be used

0.005 four possition, or single 0.020

Timeframe 1minute,

Maximum Loss on any open trades isizid 0.40$,

Scalping ndo best 0.50$+ profit *20 trades of 0.020lot per day =10$

Hio ni kama kumsukuma mlevi ktk iyo pair ya v75( 1s) usitrade pair ingine

Pattern nzuri ktk kutrade tumia Inverse head and shoulder kama higher timeframe ina buy, na tumia head and shouler kama ina sell au dead inverse head and shoulder

Hakikisha hubaki muda mwingi once your profit imefikiwa, hakikisha unatrade kwa 1min chart

Uwe sharp kuact when loss when profit iyo pair ni ngumu kwa holding labda kama unafanya hedging, tofauti na hapo unachukuwa kilicho mezani

Jikusanye kusanye na izo 5-8$ kwa mwezi uko na 150$-300$ hakiisha kila siku unahamisha au kuwithdrawal 5$

Sio lazima kutrade muda wote iepuke ikiwa imestuck, kazi yako ni kufollow momentum,si lazima upate anchor entries

Inaheshimu sna pattern ,

Ukifanikiwa kufikisha lengo basi toa 100 leta kwenye currency

50$*2 purchase MFF ACCOUNT S YA 5000$ ziwe mbili Kimbiza taratiibu pass phase zote na inapaswa kwa uangalifu maana acc yako size ni ile daily loss limit,

Trade comfortable make profit hit withdrawal buttons

Hiyo ni kwa wale wanaolalamika hawana mitaji NJ ia ndo iyoo toafuti na apo nenda kwa muhindi kaajiriwe ulipwe. Elfu saba mia nane uje mpka upate laki mbili ndo u deposit
 
Mzee wa kizazi cha mwisho , madini haya tunayahitaji sn vijana
 
Hii pair ni hatar na nusu mkuu mpka sas hiv npo kwenye course ya kuitrade hii pair pekeyake maana nishatrade zote BOOM, VOLATILITY, CRASH, ila hii V75 index ni moto san mkuu...
Kama unayo strategy nzur kwa ajili ya hii pair mkuu njoo pending tuongee au nielekeze namna ya kuitrade hii pair...
 
Iyo niliyoelezea ni v75 1s sio ile v75 kavu ile pairI gold ya indexes ila ni nzuri ukiwa na capital 200+,
 
Wakuu

FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake,

Trading hack

Maximum deposit 50$

Broker Deriv

Instrument -Volatility 75(1s)

Target per day profit 8$

Lot size maximum to be used

0.005 four possition, or single 0.020

Timeframe 1minute,

Maximum Loss on any open trades isizid 0.40$,

Scalping ndo best 0.50$+ profit *20 trades of 0.020lot per day =10$

Hio ni kama kumsukuma mlevi ktk iyo pair ya v75( 1s) usitrade pair ingine

Pattern nzuri ktk kutrade tumia Inverse head and shoulder kama higher timeframe ina buy, na tumia head and shouler kama ina sell au dead inverse head and shoulder

Hakikisha hubaki muda mwingi once your profit imefikiwa, hakikisha unatrade kwa 1min chart

Uwe sharp kuact when loss when profit iyo pair ni ngumu kwa holding labda kama unafanya hedging, tofauti na hapo unachukuwa kilicho mezani

Jikusanye kusanye na izo 5-8$ kwa mwezi uko na 150$-300$ hakiisha kila siku unahamisha au kuwithdrawal 5$

Sio lazima kutrade muda wote iepuke ikiwa imestuck, kazi yako ni kufollow momentum,si lazima upate anchor entries

Inaheshimu sna pattern ,

Ukifanikiwa kufikisha lengo basi toa 100 leta kwenye currency

50$*2 purchase MFF ACCOUNT S YA 5000$ ziwe mbili Kimbiza taratiibu pass phase zote na inapaswa kwa uangalifu maana acc yako size ni ile daily loss limit,

Trade comfortable make profit hit withdrawal buttons

Hiyo ni kwa wale wanaolalamika hawana mitaji NJ ia ndo iyoo toafuti na apo nenda kwa muhindi kaajiriwe ulipwe. Elfu saba mia nane uje mpka upate laki mbili ndo u deposit
Ndugu naomba namba yako
 
Nitafute please - need consultation
 
Katik ujanja wangu wooote swala la Forex na Bitcoin kwa upande wangu mimi ni mweupeeeeeee yaan naona Giza tupu..

Soon ntaanza kula darasa. Nilichokiona hapo kunahitaji Akili nyingi na uijue vizuri, uwe mfatiliaji mzuri na sio mtu wa mihemko na kujifanya mtaalam saaana.

Nalivalia njuga hili swala..

Nitarudi
 
Njia za kupata mtaji saiv zipo nyingi ni kuwa serious tu na kuwa na maarifa sahihi ktk trading
 
Hii ni Forex mpya au ndio ile ile inayo liza watu kila siku
FB_IMG_16867783491645358.jpg
 
Back
Top Bottom